Walimu wa shule ya sekondari ya Mruwia
Baadhi ya wanafunzi wakiangalia vifaa vya kiutafiti vya kijiografia uwanjani hapo
Wanafunzi wakifurahia jambo
Wanafunzi wakisikiliza kwa umakini maelekezo toka kwa msimamizi
Kifaa maalumu wakioneshwa na msimamizi
Wanafunzi wakipata maelekezo muhimu
Kifaa maaalumu cha kupima mionzi ya jua
Wanafunzi wakipewa maelekezo ya kitaalamu toka kwa msimamizi
Wanafunzi wakiwa wamejipanga wakitizama ndege iliyokuwa inataka kuondoka
Wakipewa maelekezo na mfanyakazi wa uwanjani hapo
Walimu wakipewa maelekezo toka msimamizi
Imeandaliwa na Mtanzania Jitambue blog
0 maoni:
Chapisha Maoni