Jumatatu, 1 Desemba 2014

                                                         Chama Cha Mapinduzi Logo.png

Jana ndio siku ya uzinduzi wa kampeni za serikali za mitaa. Mkoani morogoro wilayani Mvomero chama cha mapinduzi kimefanya uzinduzi wake uliohudhuriwa na umati mkubwa wa wananchi siku ya jana.
Wakati kampeni zikizinduliwa Chama cha mapinduzi wilayani Mvomero kimeweza kupita bila ya kupingwa katika vijiji 42 na vitongoji 273.
Hii ni ishara nzuri kwa chama hicho kuelekea katika upigaji kura tarehe 14-12-2014.

0 maoni:

Chapisha Maoni

Kumbukumbu la Blogu

Inaendeshwa na Blogger.

Machapisho Maarufu

Machapisho ya Karibuni

Recent Posts Widget