Jumamosi, 6 Desemba 2014


Mwenyekiti wa wazalendo Taifa Ndg. Daud Mrindoko akiongea na baadhi ya vyombo vya habari amesema kuwa Taasisi ya wazalendo Taifa inatarajia kuzindua mavazi yenye nembo ya Taasisi hiyo hivi karibuni.

Hayo ameyasema huku mavazi hayo yakisubiriwa kwa hamu sana na watu wengi ambao wanaunga mkono uzalendo wa Taifa hili.

Pia, amesema mavazi hayo yatasambazwa nchini kote na muda utakapowadia utaratibu maalumu utatangazwa namna ya kuyapata mavazi hayo.

Amewataka wananchi wazalendo kuunga mkono Taasisi hiyo kwa kuweza kununua mavazi yao.

0 maoni:

Chapisha Maoni

Kumbukumbu la Blogu

Inaendeshwa na Blogger.

Machapisho Maarufu

Machapisho ya Karibuni

Recent Posts Widget