Alhamisi, 4 Desemba 2014
Mwenyekiti wa Wazalendo Taifa Ndg. Daud Mrindoko afanya uteuzi wa nafasi mbali mbali za Taasisi ya Wazalendo Taifa
Nafasi hizo ni kama ifuatavyo:-
1: Ndg. Dkt. Anthony Diallo- Katibu wazalendo Baraza la wazee Maelezo na Habari Taifa
2: Ndg. Richard Kasesela- Katibu wazalendo Baraza la wazee Hazina na Maadili Taifa
3: Ndg. Juma Raibu- Katibu wazalendo Hazina na Maadili Mkoa wa Kilimanjaro
4: Ndg. Robert Gwanchele- Katibu wazalendo Maelezo na Habari Mkoa wa Mwanza
Imetolewa na Katibu wa Habari na Maelezo
Ndg. Hassan Husein
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 maoni:
Chapisha Maoni