Jumatatu, 22 Desemba 2014

Ndg. Oliver Sanare akisema jambo katika harambee ya kanisa la Mawella
 Kada wa chama cha Mapinduzi Ndg. Oliver Sanare siku ya jana tarehe 21/12/2014 alishiriki harambee iliyoandaliwa na kanisa la Mawella wilayani Moshi vijijini. Katika harambee hiyo ameweza kuchangia fedha taslimu na ahadi ili kufanikisha lengo la kanisa hilo.
Katika tukio hilo kada huyo wa chama cha mapinduzi alipongezwa na waumini wa kanisa hilo kwa kitendo hicho cha kuamua kujitoa na wamemtaka aendelee na moyo huo wa kusaidia.
Oliver Sanare akiahidi jambo wakati wa harambee ya kanisa hilo
Ndg. Jerome Komu wa kwanza kulia, Ndg. Oliver Sanare wa kati na Ndg. Matemu watatu kushoto

Viongozi wa Kanisa la Mawella wakipata picha ya kwa pamoja na kada wa ccm ndg. Oliver Sanare


0 maoni:

Chapisha Maoni

Kumbukumbu la Blogu

Inaendeshwa na Blogger.

Machapisho Maarufu

Machapisho ya Karibuni

Recent Posts Widget