Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kilimanjaro Ndg. Fredrick Mushi akihutubia mashabiki wa soka waliohudhuria uzinduzi huo wa ligi ya UVCCM CUP kata ya Makuyuni wilayani Moshi vijijini mkoani Kilimanjaro
Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Moshi vijijini Ndg. Gulatoni Masiga akimkaribisha Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa kwa ajili ya kukagua timu zilizo uwanjani
Timu zikiwa uwanjani na mpambano ukiendelea wa kukata na shoka huku mashabiki lukuki wakifuatilia kwa ukaribu pambano hilo
Wa kwanza kushoto ni Mwemyekiti wa UVCCM Kata ya MAKUYUNI Ndg. Dicksoni Tarimo ambaye pia ni Mdhamini wa ligi hiyo akiwa sambamba na makada wa chama cha mapinduzi
0 maoni:
Chapisha Maoni