Ikulu Tar 25 April Mh. FREDERICK TLUWAY SUMAYE aliwakilishwa na mwanaye FRANK F.T.SUMAYE kumpokelea Nishani .Nishani hiyo ni ya kufanyakazi kwa bidii na uadilifu katika kuulinda,kuutetea na kuudumisha muungano wakati akiwa madarakani na baada ya kutoka madarakani...
Hongera Waziri mkuu mstaafu . ( yuko safarini USA,UK)
0 maoni:
Chapisha Maoni