Juma Raibu (Kamanda wa UVCCM- Kata ya Pasua) kwa jina maarufu Tajiri mtoto akikabidhi Dish la DSTV kwa vijana wa kata ya Pasua.
Kasi ya kupendwa na kukubalika mbela ya wananchi wa kata ya Pasua imezidi kumtesa Meya wa Moshi Mjini Ndg. Jaffary, ambaye pia ni Diwani wa kata hiyo.Kijana huyo amekuwa kivutio kwa wananchi wa rika zote kuanzia watoto, vijana na wazee. Wakiulizwa wananchi wa kata ya Pasua juu ya kasi ya kijana huyo ambaye pia ni Kamanda wa UVCCM kata ya pasua wanamuelezea kuwa kijana anapendwa na wanapasua kutokana na ukaribu wake bila ya kubagua rika. Wengi wao wanamuona kama mkombozi wao huku wakimfananisha na Rais Barrack OBAMA kwa mvuto wake.
Juma Raibu akihutubia mkutano wa hadhara katika kata ya Pasua
Wananchi wa KATA ya PASUA wakimsikiliza kwa umakini JUMA RAIBU
0 maoni:
Chapisha Maoni