Ijumaa, 26 Desemba 2014

TAASISI YA WAZALENDO TANZANIA
Taarifa kwa vyombo vya habari
UTEUZI WA NAFASI.
Mwenyekiti wa wazalendo Tanzania Ndg. Daud Mrindoko ametangaza nafasi za uteuzi mbali mbali katika Taasisi ya wazalendo.
1: Ndg. Ahmed Makame - Mwenyekiti wazalendo mkoa wa SINGIDA
2: Ndg. Monalisa J. Ndalla - Mwenyekiti wazalendo Wilaya ya Kigoma Mjini
3: Ndg. Theresia Mkelemi - Mwenyekiti wazalendo Chuo cha Iringa(Tumaini).
Taasisi ya wazalendo Tanzania inawatakia kila la kheri katika utekelezaji wenu wa majukumu haya mapya.
©Imetolewa na Idara ya Habari na Maelezo Taifa
Hassan husein
Katibu
26/12/2014

Jumanne, 23 Desemba 2014

HOTUBA YA MH RAISI
Kikwete: Naendelea kuimarika kila siku japo sipo fit kabisa. Leo nazungumzia uchaguzi wa serikali za mitaa, umeenda vizuri ukiacha maeneo machache. Ni uthibibitisho wa kuendelea na kukomaa kwa demokrasia na natoa pongezi kwa walioshinda na wakae chini kupanga mikakati ya kuongoza maeneo yao. Katika taarifa ya waziri Ghasia alielezea kasoro zilizojitokeza na aliahidi kuchukua hatua. Nieleze furaha yangu kwa Hawa Ghasia juu ya hatua alizochukua na mimi nikaweka ridhaa yangu, lazima watumishi wajue kuna adhabu ya makosa wanayoyafanya, kuwawajibisha itakua fundisho kwao na kwa wengine wawe makini kwenye uchaguzi wa 2015.
Jambo la pili ni sakata la Tegeta escrow, wakati wa bunge la bajeti kulitokea madai kuwa fedha za escrow zilizokuwa benki kuu zimechotwa kinyemela na PAP kwa kushirikiana na viongozi wa serikali. Serikali iliahidi kutekeleza kwa kupitia kwa CAG kufanya ukaguzi ambayo ilisomwa bungeni pia niliagiza kuchapishwa kwenye magazeti na tovuti ya serikali, TAKUKURU wanaendelea na uchunguzi wao, taarifa yao ni kuwaona mahakamani, hawana ya maelezo. Tarehe 8 Desemba nilipoanza kazi, niliyasoma na kutoa maagizo, zipo taarifa nilizozipata japo sio zote, lakini nilisema siwezi kusubiri sana. Katika kusoma makaratasi na kupewa maelekezo, yapo mambo manne mikataba ya umeme, umiliki wa PAP, kodi ya serikali na tuhuma za rushwa.
Mikataba ya kununua umeme unaozalishwa na makampuni binafsi, mikataba ya umeme iko ya namna mbili tozo ya umeme ikiwa ni malipo ya umeme uliotumiwa kulingana na bei waliyokubaliana na ya pili ni gharama ya uwekezaji(capacty charge) kwa Songas, Aggreko, IPTL
Anaelezea historia ya mgogoro wa TANESCO na IPTL, TANESCO na IPTL walikubaliana kuanzisha akaunti ya Tegeta escrow benki kuu na kuingia mkataba, wizara ya madini kwa niaba ya TANESCO na IPTL na benki kuu kama wakala. Masharti ilikua kampuni ya IPTL itaendelea kupeleka madai yake TANESCO ya tozo ya uwekezaji na TANESCO itaendelea kulipa lakini yataenda escrow akaunti badala ya IPTL lakini ya umeme yaliendelea kwenda IPTL na ilifunguliwa 2006 na mpaka kesi kuamuliwa 2013 wakati IPTL inachukuliwa na PAP walikua hawajamalizana. (They decided to manage the crisis rather than resolve it)
Kwa mujibu wa mkataba, TANESCO isipolipa inatozwa riba ya 2%, kwa mujibu wa taarifa akaunti ilikua na 202.9 bilioni na sio 309.7, hizi zilipaswa kuwepo endapo TANESCO ingelipa zote kwa wakati. 
Fedha hizi mwenyewe nani, umma au IPTL
Nianze kuelezea ya Escrow ni kitu gani, ni tofauti kidogo na akauti zetu tatu tulizozizoea, na akauti maalumu na kazi maalumu pia ikiisha na yenyewe inafungwa, inasimamia na wakala na wakala pia anajukumu la kumlipa mwenye fedha wakati ukifika.
Akaunti ikafunguliwa BoT kwa ajili ya kuweka tozo ya uwekezaji, zinahifadhiwa ili kutoa nafasi kwa pande mbili kushughulikia tofauti zao lakini kabla ya hapo TANESCO walikua wanalipa moja kwa moja. 
Kimsingi fedha hizi ni za IPTL, katika swali pesa za nani, mdhibiti wa hesabu alisema humu yawezekana zipo za umma pia zipo za IPTL, Nilipomuuliza maana, akasema zamani walikua wanalipa moja kwa moja lakini baada ya mzozo walikubaliana kwanza waziweke BoT. 
Kama mgogoro ungetatuliwa na madai ya TANESCO yakakubali ya tozo kupunguzwa, kiasi kilichopunguzwa kuna pesa za TANESCO ambazo lazima zirudi kwa kiasi kilichopunguzwa. Bahati mbaya miaka saba baadae halikuwa limefanyika. 
Kama katika fedha hizo ipo kodi ya serikali, kwa mujibu kulikua na kodi ya ongezeko la thamani ambayo haikulipwa, IPTL hawakuilipa na uthamini ulikua bilioni 21 na ushee, TRA imepeleka madai yake kwa PAP.
CAG aliwaelekeza TANESCO kuacha kuhesabu pesa walizolipa kwenye akaunti ya escrow kama pesa zao, pesa hazikufikia sifa kuhesabika kama mali ya TANESCO(Asset). Mahakama kuu ya Tanzania ilifanya uamuzi katika shauri la maombi ya VIP, kusimamisha mchakato wa ufilisi wa IPTL na mahakama ikakubali.
Mfilisi aliagizwa kuhamisha kwa PAP kutoka IPTL ikiwemo akaunti escrow, ilizua mjadala mkali. Wizara ya nishati ilimwandikia mwanasheria mkuu kuomba ushauri, Mwanasheria akasema lipeni, uamuzi uko sawa na hauna matatizo na benki kuu wakauliza maswali hayo hayo na majibu yakawa yaleyale. Kuzingatia ushauri huo akaunti ikafungwa na pesa kukabidhiwa PAP. Mjadala ukaendelea bunguni na kwenye mablogu.
Na hata TANESCO alipewa ushauri huo huo, uamuzi ule umetiliwa shaka na kuonekana haukuwa sahihi na umeitia hasara nchi. Ukaibua hisia na ni kwa sababu nzuri tu kwamba si bure na iko namna kama ya rushwa na watu kunufaika binafsi. Mara kuna watu wameenda benki na kubeba pesa kwenye sandarusi, lumbesa na mengineyo.
Jambo moja ambalo ni bahati mbaya, ilijengeka dhana kuwa akaunti kufungwa ni jambo lililoanzishwa na maafisa wa serikali kwa manufaa yao binafsi.
Nilipokutana na mwanasheria mkuu, alisema hakukosea katika ushauri wake na wala mahakama haikufanya makosa, 
Na kuhusu ile hasara amesema hakuna hasara yyte iliyopatikana kwa sababu pesa imelipwa kwa mtu halali. 
Kabla ya mzozo wa ukokotoaji TANESCO ilikuwa inailipa ITPL Moja kwa moja. Lakini hata ulipotokea mzozo bado IPTL haikuacha kupeleka madai na Tanesco haikuacha kulipa. Kuwepo kwa akaunti ya escrow haibadili mwenye fedha yake. 
Kwa upande wa kodi ya serikali ambazo hazikulipwa, AG alipoulizwa alisema hakuna kodi iliyochelewa kulipwa.
Mgogoro ni baina ya IPTL na TANESCO havyo uamuzi wa standard charted haukuweza kuingia, kwa vile haikuhusishwa, ilienda kuzuia maamuzi hayo.
Fedha zilizotoka imelipwa PAP, akitokea mtu ana madai, serikali mnaikinga vipi. Ingetokea mtu ana madai yoyote angepelekwa PAP kulingana na makubaliano. Kukawa kuna hoja kuwa hata PAP umiliki wake wa hisa 70% unatia mashaka kutoka Mechmar, lakini waliziuza kwanza kwa kampuni ya Uingereza ambayo yenyewe ndo ikaziuza PAP. Kampuni ilikua chini ya ufilisi na kwa mujibu wa taratibu huwezi kuuza ukiwa chini ya ufilisi, kwa mujibu wa taarifa sio kweli. 
Tulitaka kufanya uchunguzi sisi wenyewe na mamlaka zetu na taarifa zimeshakuja, tunazifanyia kazi. 
Kuna vitu vimetokea, kuna vilivyofanyika nje na taarifa hazikuja na sasa tunalaumiana, hivyo tunafanya uchunguzi na wote waliohusuka tunawahoji na mahakama kuu ipo kesi ya PAP kumiliki hisa za IPTL, ipo kesi ya uhalali wa PAP kupokea pesa za IPTL. Hatutaki kuwaingilia ila sisi tutafanya uchunguzi wetu kwa ajili ya taarifa zetu. Tuwe na uhakika hizi hisa zimeuzwa kwa bei gani, tunataka kujiridhisha kwa sababu ipo kodi ya serikali(capital gain) na inalipwa na alieuza na sio alieuziwa. Kodi hulipwa na aliepata na sio aliepoteza(Alienunua). 
VIP walipouza na kupata dola milioni 78, wamelipa kodi bilioni 38. Kulikua na tuhuma za rushwa katika mchakato mzima. Yamesemwa mengi na bado hatujamaliza kuyasoma, rushwa ni kosa la jinai. Nilielekeza taarifa walizozipata wazipeleke PCCB. Nimeambiwa wanaendelea na mchakato wao. Kwa miamala, serikali inashughulika na watumishi wa umma kwa mujibu wa taratibu, maaskofu na masheikh kupewa kitu hawatuhusu, mtumishi wa umma ana masharti ya kupokea fedha. Watahojiwa na PCCB.
Hushtuki asubuhi akaunti ina bilioni 1.6, milioni 80 etc. Zimeanguka kutoka juu ya mti. Huo ndo utanguliza.
Maazimio ya bunge
Kwanza niseme serikali imayakubali na niwapongeze waheshimiwa wabunge. Nashukuru kamati ya bunge chini ya Zitto na Filikunjombe, watu wa upinzani kufanya yale maamuzi yao, kwamba CCM ni mafisadi. Ni kweli watu hawa wanatoka CCM ila sio kwamba CCM inaridhia. Ntashangaa mbunge kulipinga hili eti kisa tu yuko CCM, bunge wengi ni CCM, kama ni kweli walikuwa hawataki hakuna azimio lingepita? Na kuna baadhi ya wabunge wa CCM waliudhika na maovu haya, wenzetu wanatafuta sifa laini kwa jambo ambalo ni letu sote.
Niwahakikishie mimi na wenzangu serikalini hatuna upungufu wa dhamira katika kutimiza maazimio ya bunge.
Kutaifisha mitambo ya IPTL, tunahimiza sekta binafsi kuwekeza, tunapotaifisha habari tunayopeleka si nzuri, sisi tuliotaifisha mwanzo siku hizi tunasema hatuna sera ya ujamaa hivyo waje kuwekeza. Watasema wale jamaa wamerudia tena wanataifisha. Mahakama imefanya maamuzi kwa IPTL, kwanza waibadili mitambo yao ibadili itumie gas badala ya mafuta, tukiyafatilia yanaweza kutufikisha mahali. Haya ya kutaifisha yananipa wasiwasi
Kuhusu uwazi wa mikataba na mapitio, tutafanya na lipo moja tutafanya kuhusu usiri wao wa biashara, kuweka wazi zinaweza kutumiwa na wapinzani wa kibiashara, hivyo tutaangalia namna ya kulifanya. 
TAKUKURU na jeshi la usalama vichukue hatua, nimeshaeleza hatua zinaendelea.
Kamati za bunge kuwavua nyadhifa wenyeviti wa kamati za bunge
Raisi aunde tume ya kijaji kuwachunguza majaji(Mujulizi na Lwangisa), nimelipokea lakini utaratibu wa kisheria kushughulikia linatakiwa lianzie kwenye mahakama na sio linaanzia kwa rais au bunge. Mahakama inaporidhika amepoteza sifa, inaletwa kwa rais maana ndie anaeteua majaji. Lazima kushirikiana na muhumili wenyewe. Nilichosema tumwachie jaji mkuu na wakiridhika watakuja kwa raisi endapo wataridhika wahusika wamekosa sifa.
Kuhusu mabenki kuwekwa kama zinatakatisha fedha, pendekezo uchunguzi ufanyike ni pendekezo zuri na intelligence unit ndio watakaofatilia
Serikali iandae muswada wa sheria ulioleta TAKUKURU, ni wazo zuri, Mchakato wa kufanya mageuzi TAKUKURU tumeuanza tangu 2008. Sheria ya kwanza ya PCCB ilikua na makosa manne tu ya rushwa tukayaongeza mpaka 24.
Kuhusu watu kuwawajibisha, bodi ya TANESCO bahati nzuri imemaliza muda wake na tumeanza mchakato wa bodi, na tutaipata siku chache zijazo.
Katibu mkuu wa wizara ni mtumishi wa umma, hivyo kuna taratibu na nimeshaagiza zianze.
Mwanasheria mkuu wa serikali ameshajiuzulu na amesema amebeba dhamana hio pia kwa niaba ya waliojiuzulu.
Waziri wa ardhi, tumekaa nae na kuzungumza. Pesa hizi ni za nini na kwa ajili gani na amesema ni za shule, mengi yameelezwa. Maswali makubwa kwa nini hazijaenda shuleni moja kwa moja na zikawa kwa jina lake, akasema ndo masharti ya mtoaji, tumelitafakari sana na tumeona msingi mkubwa wa kimaadili kuhusu kupokea hizi pesa,tumeshazungumza nae na tumemwambia atupe nafasi tumteue mwingine.
Waziri wa nishati na madini tumemuweka kiporo, kuna uchunguzi nimeagiza ufanywe na nikipata majibu nitafanya uamuzi, tume ya maadili pia wanafanya kwa ajili ya kupata maamuzi kwa misingi ya haki.
NDIO MWANZO NA MWISHO WA HOTUBA YANGU NDEFU
Wenu Mtanzania Jitambue....

Jumatatu, 22 Desemba 2014

                                          
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Jakaya Kikwete

Rais Jakaya Kikwete ametengua nafasi ya Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka kupitia hotuba aliyotoa kuzungumzia kashfa ya upotevu wa fedha kutoka akaunti ya Tegeta Escrow.

Hatua hiyo imechukuliwa na Rais Kikwete mbele ya wazee wa Dar Es Salaam aliokuwa akiongea nao na matangazo kurushwa moja kwa moja kupitia televisheni ya taifa na vyombo vingine.
Uchunguzi uliofanywa na kamati ya hesabu za umma ya Tanzania (PAC), ilidai kuwa Profesa Tibaijuka ni mmoja wa watu walionufaika kinyume cha sheria kwa kupata fedha zilizotoka katika akauti hiyo iliyofunguliwa kutunza fedha kusubiri ufumbuzi wa mgogoro wa kibiashara kati ya kampuni ya kusambaza umeme TANESCO na kampuni binafsi ya kuzalisha umeme ya IPTL.

Siku chache zilizopita Profesa Tibaijuja aliitisha mkutano na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam kubainisha kuwa hakuwa akikusudia kujiuzulu kutokana na tuhuma zilizokuwa zikimkabili.
Hata hivyo Rais Kikwete hakutangaza kuwachukulia hatua watumishi wengine waliodaiwa kuhusika na tuhuma hiyo kwa maelezo kuwa uchunguzi zaidi unatakiwa kwa kila mtuhumiwa.

Kumekuwa na ubishi mkubwa kujadili endapo fedha ambazo ni mabilioni zilizochukuliwa zilikuwa za umma au la. Na hata Rais Kikwete amesema maelezo aliyopewa na wataalam yanaonyesha hazikuwa mali ya TANESCO.





                                     Kroos: I was right to leave Bayern for Madrid
 
The midfielder feels the Club World Cup victory justifies his decision to leave the Allianz Arena and move to the Santiago Bernabeu and expects more trophies for his side in 2015

Toni Kroos believes winning the Club World Cup proves that he was right to leave Bayern Munich and join Real Madrid.

The midfielder joined the Santiago Bernabeu side in the summer for a reported €30 million and helped them to win the trophy on Saturday, after a 2-0 victory over San Lorenzo in the final, just months after he was crowned a world champion with Germany.

And Kroos, who also won the Champions League and Club World Cup during his time at Bayern, says he is happy to cap off a fine 2014 with another trophy and feels vindicated in his decision to join the Spanish giants.

"I'm so happy to win the Club World Cup for a second time," he told reporters. "This trophy is so good for Real Madrid, we are a great family.
"I chose Real Madrid and now I'm so happy. I was right to sign for Madrid.

"Before coming here, I didn't know what to expect, but I made the decision, I was looking for something new and I was lucky that I signed for Real Madrid."

The midfielder reflected on what has been a wonderful year for him and feels he and his team can progress even further in 2015. 
"It was a great year, full of amazing moments, but you are not the champion of the world every year. Winning the final in Rio de Janeiro and lifting the cup was a very special moment.

"Germany had been waiting a long time for it. It was the best moment of the year. But 2014 was very good overall, so there are many good times to remember,
"Now we are looking forward to the Copa del Rey and Champions League, there are many great opponents like Barcelona, Chelsea and Bayern Munich.

"So it is going to be tough in the Champions League and in La Liga too. I think Barcelona and Atletico will be close in the table, so defending our position at the top won't be easy.

"Now in January we play Atletico in the Copa del Ray and if we win, we face Barcelona, so it will be very hard. But I think we have to look forward. We are in good form."
                                            Ancelotti has turned Real Madrid's individuals into a great team - Sacchi



 



The former Milan and Italy coach has heaped praise on
his compatriot, claiming the Blancos were a disjointed bunch of quality
players before his arrival

Arrigo Sacchi has hailed Carlo Ancelotti’s achievement in making world champions out of Real Madrid, saying the Italian coach has transformed a group of great individuals into a great team.
Madrid beat San Lorenzo 2-0 in Marrakesh in Saturday’s Club World Cup
final to crown the Spanish giants kings of world football for the first
time.
And the former Milan coach and Madrid director of football has
insisted that his compatriot deserves recognition for turning a
collection of talented players into a fine-tuned machine.
“Carlo has overseen a work of art. He is a humble and intelligent man and he deserves this success,” Sacchi told As. “Real Madrid had great players, but they weren’t a great team: now their play is not just attractive but also effective.”
But the 68-year-old insists that there remain potential stumbling
blocks around the corner as Ancelotti’s men look to extend their current
winning run beyond 22 games.
“I see a tired team,” he added of Madrid. “They keep winning but they
aren’t playing at the level that they were before. Hopefully they can
use the winter break to recharge their batteries.”


The Blancos finish 2014 with four trophies to their name, having
already secured the Uefa Champions League, Copa del Rey and European
Super Cup before Saturday’s Club World Cup success.



22/12/2014

Inapenda kutoa taarifa kuwa uongozi wa mkoa wa Lindi umepata uongozi wake katika nafasi zote.

Nafasi hizo ni kama zifuatazo:-

1: Ndg. Faraji Ramadhani - Mwenyekiti
2: Ndg. Mwanja Ibadi - Katibu
3: Ndg. Said Hamdani - Katibu Habari na Maelezo
4: Ndg. Juma Mweru - Katibu Hazina na Maadili
5: Ndg. Martina  Ngulumbi - Katibu Elimu na Jamii
6: Ndg. Cosma Bull - Katibu Jinsia na Watoto




Imetolewa na Idara ya Habari na Maelezo Taifa

Ndg. Hassan Husein
Ndg. Oliver Sanare akisema jambo katika harambee ya kanisa la Mawella
 Kada wa chama cha Mapinduzi Ndg. Oliver Sanare siku ya jana tarehe 21/12/2014 alishiriki harambee iliyoandaliwa na kanisa la Mawella wilayani Moshi vijijini. Katika harambee hiyo ameweza kuchangia fedha taslimu na ahadi ili kufanikisha lengo la kanisa hilo.
Katika tukio hilo kada huyo wa chama cha mapinduzi alipongezwa na waumini wa kanisa hilo kwa kitendo hicho cha kuamua kujitoa na wamemtaka aendelee na moyo huo wa kusaidia.
Oliver Sanare akiahidi jambo wakati wa harambee ya kanisa hilo
Ndg. Jerome Komu wa kwanza kulia, Ndg. Oliver Sanare wa kati na Ndg. Matemu watatu kushoto

Viongozi wa Kanisa la Mawella wakipata picha ya kwa pamoja na kada wa ccm ndg. Oliver Sanare


Siku ya jana tarehe 21/12/2014 wakazi wa mji mdogo wa Himo wajitokeza kwa wingi sana kusherehekea ushindi wa kishindo wa chama cha mapinduzi waliupata katika uchaguzi wa serikali za mitaa. Chama cha mapinduzi kilishinda vitongoji 10 kati ya 14.



Mwenezi wa wilaya ya Moshi vijijini Ndg. Jamal husein na mshindi wa kitongoji cha Miembeni Mji mdogo wa Himo
Katika sherehe hizo zilizoandaliwa na ofisi ya chama cha mapinduzi kata ya Makuyuni viongozi mbali mbali wa chama walihudhuria na kupata nafasi ya kuotoa neno la shukrani kwa wakazi wa mji mdogo wa Himo.



Wakazi wa mji mdogo wa Himo waliojitokeza katika sherehe hizo
 Baadhi ya viongozi waliojitokeza ni Mjumbe wa kamati ya siasa ya ccm wilaya ya moshi vijijin Ndg. Shayo maarufu kama Kingsize, Mama RP (Mjumbe wa kamati ya siasa wilaya ya moshi vijijini), Ndg. Innocent Melleck Shirima (Naibu kamanda Uvccm moshi vijijini), Ndg. Hassan husein (Katibu hamasa Uvccm moshi vijijini) na Makatibu mbali mbali wa chama cha mapinduzi toka wilaya ya moshi vijijini.



Mjumbe wa kamati ya siasa wilaya ya moshi vijijin Ndg. Shayo (Kingsize)
Wakazi waliojitekeza kusherehekea sherehe hizo za chama cha mapinduzi wamesifu uongozi wa chama cha mapinduiz kata ya Makuyuni kwa kuandaa sherehe hizo ili wakazi wajitokeze kusherehekea kwa pamoja kama shukrani kwa kuwachagua viongozi kupitia chama cha mapinduzi katika uchaguzi wa serikali za mitaa.



Naibu kamanda wa Uvccm wilaya ya moshi vijijini Ndg. Innocent Melleck Shirima
Akiwahutubia mamia ya wakazi wa mji mdogo wa Himo, Naibu kamanda wa vijana moshi vijijini amewataka wakazi wa mji mdogo wa himo kuwapa ushirikianao viongozi waliochaguliwa ili waweze kutimiza kiu yao. Lakini pia, amewataka uchaguzi mkuu wa mwakani wasifanye makosa kuchagua madiwani na wabunge wa chama cha mapinduzi.

Akiwashukuru wakazi wa mji mdogo wa Himo Ndg. Jamal Husein ambaye pia ni mwenezi wa ccm wilaya ya moshi vijijini amewataka wakazi kuzidisha imani kwa viongozi waliochaguliwa kupitia chama cha mapinduzi.

Ndg. Oliver Sanare ni mjumbe wa Baraza la uvccm mkoa wa Dar es salaam akiwahutubia wakazi wa mji mdogo wa Himo
Ndg. Pantaleo Meela ni mjumbe wa kamati ya utekelezaji wa uvccm wilaya ya moshi vijijini akiongea na wananchi
Baadhi ya makada wa chama cha mapinduzi waliohudhuria sherehe hizo
 Ndg. Peter Msacky akisema jambo kwa wananchi wa Mji mdogo wa Himo alipopata nafasi ya kuongea nao



 

Ijumaa, 19 Desemba 2014

TAASISI YA WAZALENDO TANZANIA.
Taarifa katika mitandao ya kijamii.
Kutokana na taarifa za uongo na uzushi zinazosambazwa mitandaoni kuhusu Taasisi ya wazalendo Tanzania. Baadhi ya tuhuma hizo ni kama ifuatavyo:-
1) Taasisi ya wazalendo Tanzania imeandaa tafrija maalumu ya kuukaribisha mwaka mpya itakayofanyika Mkoani Manyara wilayani Hanan'g
2: Taasisi ya wazalendo tayari kuwa imepata walezi na mmoja alietajwa katika habari zinazosambazwa ni Waziri Mkuu mstaafu Ndg. Fredrick T. Sumaye..
Taasisi ya wazalendo Tanzania inapenda kukanusha habari hizo za uongo na za upotoshaji wa makusudi wenye lengo la kutaka kuleta mgogoro na chuki baina ya wazalendo na jamii kwa ujumla wake, na wasiotakia mema taasisi ya wazalendo Tanzania.
Tunaomba tukanushe habari hizi za uongo na Katibu Mkuu wa Taasisi ya wazalendo Tanzania Ndg. MARTIN MUNIS hajahusika kwa namna yoyote ile kuandaa habari hiyo ya mitandaoni.
Taasisi ya wazalendo mpaka sasa haijaandaa tafrija ya kupokea mwaka mpya na kama itakuwa na mkakati huo itatangaza katika vyombo vya habari.
Pia, Taasisi ya wazalendo haina mlezi mpaka sasa. Na utaratibu wa kuwapata walezi utafanyika kwa utaratibu maalumu katika mkutano mkuu utakaofanyika hivi karibuni.
Mwisho, Taasisi ya wazalendo Tanzania inawaomba wazalendo wote na wapenda maendeleo ya nchi kupuuza habari zote za uongo zinahusu taasisi ya wazalendo, kwakuwa taasisi hii ina utaratibu wake maalumu wakutoa taarifa rasmi.
©Imetolewa na idara ya Habari na Maelezo.
Hassan husein

Alhamisi, 18 Desemba 2014

Mke wa Sugu avaa nepi za kizungu kwenye Birthday yake iliyofanyika mbele ya kadamna na kutokuwa na Aibu kabisa...Kweli  ukishangaa ya Nabii Mussa utakutana ya Furauni...Kweli kazi ipo na mpaka tutazeeka tutaona mengi mno...Huyu ni Mke wa Mbunge ambaye tunategemea atamshauri Mhe.Mbunge kuchangia maendeleo sasa hatujui atamshauri nini..Tumepitia kwa jamii kuwauliza wananchi kuhusu Hili wameshikwa butwaa na kusema si mke wake itakuwa ni kimada tu awez kuwa mke...
Wako Mtanzania Jitambue...

Jumatatu, 8 Desemba 2014

Wafungwa 6 waliokuwa wakishikiliwa na Marekani katika gereza la Guantanamo Bay wamewasili nchini Uruguay, baada ya Marekani kuwapeleka huko kama wakimbizi, katika hatua mpya za rais Obama kulifunga gereza hilo.
Marekani imekosolewa na jumuiya ya kimataifa kutokana na gereza hili la Guantanamo Bay Marekani imekosolewa na jumuiya ya kimataifa kutokana na gereza hili la Guantanamo Bay
Watu hao sita ambao walisafirishwa kwa ndege ya jeshi la Marekani, ndio kundi kubwa zaidi kuwahi kuachiwa kwa pamoja kutoka gereza la Guantanamo Bay ambalo linashutumiwa na jumuiya. Wanne miongoni mwao ni raia wa Syria, mmoja ni kutoka Tunisia, na aliyebaki ni mpalestina.
Wote walituhumiwa kuwa wanamgambo wenye mafungamano na mtandao wa kigaidi wa al-Qaida, lakini wameshikiliwa kwa muda wa miaka 12 bila kufunguliwa mashitaka yoyote. Tangu mwaka 2009 walikuwa wameondolewa mashitaka, lakini walibakia gerezani kwa sababu haikuwezekana kuwarejesha nyumbani kwao, huku Marekani ikihangaika kupata nchi ya kujitolea kuwapokea.Serikali ya Uruguay imethibitisha kuwasili kwa wafungwa hao bila hata hivyo kutoa maelezo zaidi.
Pango la wateka nyara
Rais Jose Mujica wa Uruguay: Guantamo ni pango la watekaji nyara Rais Jose Mujica wa Uruguay: Guantamo ni pango la watekaji nyara
Rais wa nchi hiyo Jose Mujica amesema nchi yake imekubali kuwapokea watu hao kama wakimbizi kwa misingi ya kibinadamu, na kuahidi kuwa muda wowote watakapojisikia kuondoka nchini humo wanao uhuru wa kufanya hivyo mara moja. Rais Mujica pia ameikosoa Marekani na mfumo wake wa kuwaweka watu katika kizuizi cha Guantanmo.
''Lile sio gereza bali ni pango la wateka nyara. Gereza huwajibika kwa mfumo fulani wa sheria, na huwa na waendeshamashitaka wa aina moja au nyingine, na majaji wowote wale. Gereza pia huendeshwa kwa mfumo fulani wa sheria. Kule hakuna chochote.'' Amesema rais Mujica.
Alipochukua madaraka miaka sita iliyopita rais Obama aliahidi kulifunga gereza hilo, akisema limeitia doa sura ya Marekani machoni mwa dunia nzima. Hata hivyo muda huo wote ameshindwa kutekeleza azma yake hiyo, hasa kutokana na upinzani wa bunge la nchi yake.
Changamoto za kuifunga Guantanamo
Juhudi za rais Obama kuifunga Guantanamo zilitatizwa na bunge

Juhudi za rais Obama kuifunga Guantanamo zilitatizwa na bunge
Kwa wakati huu Marekani inawashikilia wafungwa wengine 67 ambao wameruhusiwa kuondoka, ambao hata hivyo kama wenzao sita waliopokelewa sasa na Uruguay hawana pa kwenda, wakihofia mashitaka iwapo watarudi katika mataifa yao, au wakihofia usalama wao.
Mjumbe wa wizara ya mambo ya nchi za nje ya Marekani Clifford Sloan ameisifu Uruguay na rais wake Jose Mujica kwa kile alichokiita ''uongozi wake imara wa kuwapa hifadhi watu ambao hawawezi kurudi kwao''.
Wakili wa mmoja wa wa watu hao waliopokelewa na Uruguay Ramzi Kassem amesema kwa kuwapokea watu hao kama binadamu huru, nchi hiyo ya Amerika Kusini imedhihirisha kwa vitendo, msimamo wake wa kishujaa.
Uruguay tayari imekwishawapokea wakimbizi wengine 42 kutoka Syria, na imesema itawapokea wengine 80. Mkurugenzi wa kituo cha kiislamu nchini Uruguay Tamar Chaky, amesema Uruguay imefanya ukarimu huo licha ya kwamba huenda ni nchi pekee ya Amerika Kusini isio ya msikiti hata mmoja.
Kwa wakati huu gereza la Guantanamo linabaki na wafungwa 136, ambayo ni idadi ndogo zaidi tangu lilipofunguliwa mwaka 2002. Mnamo siku 30 zilizopita Marekani imeweza kuwaondoa wafungwa wapatao 30 katika gereza hilo.


Halikopta mbili za kijeshi ni miongoni mwa zana za kivita zilizokamatwa kwenye ndege hizo ya mizigo.
Ndege ya mizigo iliyosheheni silaha za kivita imekamatwa katika uwanja wa ndege wa Kano nchini Nigeria.
Licha ya kukanusha awali, Urusi imesema inamiliki ndege ya mizigo iliyozuiwa katika uwanja wa ndege wa Kano kaskazini mwa Nigeria baada ya kugunduliwa imebeba silaha ambazo hazikuwa zimearifiwa.
Hata hivyo, Msemaji wa Ubalozi wa Urusi nchini Nigeria, ambaye aliliambia Shirika la Habari la Urusi TASS kwamba wanamiliki ndege hiyo, amesema silaha hizo ni za kikosi cha kulinda amani cha Ufaransa.
Kwa mujibu wa Mwandishi wa habari wa BBC ndege hiyo bado inashikiliwa uwanjani hapo.
Awali, msemaji wa kikosi cha kulinda amani cha Ufaransa katika Jamhuri ya Afrika ya kati aliiambia BBC kwamba hawafahamu chochote kuhusu helikopta mbili, magari ya kijeshi na silaha nyingine zilizokuwa katika ndege hiyo.
Hata hivyo baadaye alipiga simu kufuta usemo wake kwa kusema kuwa ndege hiyo ilikuwa imebeba silaha kwa ajili ya wanajeshi wao, walioko katika kambi ya N’damena, ambazo zitapelekwa baadaye Ufaransa.
Msemaji wa Ubalozi wa Urusi mjini Abuja alisema pia ndege hiyo ni yao. Akitatanisha taarifa aliyoitoa awali kwamba ndege hiyo si yao.
Kwa nini Ufaransa inatumia ndege ya Urusi kubeba silaha zake? na kwa nini ilisimama katika uwanja wa Kano, wakati ikiwa inaelekea nchi jirani ya Chad na hata Cameroun ikitokea Afrika ya kati? Kwanini baadhi ya silaha hazikuorodheshwa katika ndege hiyo kama zimebebwa?.
Hayo ni maswali yalioulizwa pande zote.
Seriakli ya Nigeria ambayo ndio muhusika mkuu wa tukio hilo, haijasema chochote.
Baadhi ya wachambuzi wanasema Nigeria inamiliki silaha hizo ilizonunua katika soko haramu. Wengine wanasema silaha hizo zilinunuliwa kutoka kwa waasi wa Seleka katika Jamhuri ya Afrika ya kati, wakielezea kwanini ndege hiyo imeingia nchini humo kutoka mji mkuu wa nchi hiyo, Bangui.
Nigeria imewekewa vikwazo vya silaha kutoka Marekani na nchi hiyo imekuwa ikiarifiwa kutumia njia zisizo halali kupata silaha kwa ajili ya kupambana na wapiganaji wa Boko haram


Boti iliyojaza wahamiaji haramu kuelekea Yemen
Watu 70 wamekufa baada ya boti iliyokuwa imejaza wahamiaji haramu kupinduka baharini, magharibi mwa Yemen.
Maafisa nchini Yemen wamesema wengi ya watu waliokuwa katika boti hiyo ni raia wa Ethiopia.
Hali mbaya ya hewa inaelezwa kwamba ndio chanzo cha kuzama kwa boti hiyo.
Mamia kwa maelfu ya wahamiaji wamekuwa wakihatarisha maisha yao kwa safari zisizo na usalama katika nchi zilizo katika pembe ya Afrika na Yemen kila mwaka.
Umoja wa Mataifa unamini kwamba kiasi cha watu watu mia mbili wamezama maji katika kipindi cha miezi kumi na mbili iliyopita.



Inaarifiwa kuwa watu kama 30 waliuwawa katika mashambulio kwenye vijiji mashariki mwa Jamhuri ya Demokrasi ya Congo.
Taarifa zinasema kuwa mashambulio hayo yalifanywa Jumamosi usiku kwenye vijiji karibu na mji wa Beni ambako watu zaidi ya 250 wameuawa tangu mwezi Oktoba.
Wakuu na mashirika ya raia yanawalaumu wapiganaji kutoka Uganda wa kundi la ADF, lakini baadhi ya wadadisi wanasema hakuna ushahidi wa kutosha wa kuhusisha kundi hilo.
Mwandishi mmoja wa habari katika eneo hilo aliambia BBC kuwa waliofariki ni pamoja na wanawake na watoto ambao walibururwa kutoka kwa nyumba zao na kukatwa katwa kwa mapanga.
Alisema haijulikani nani aliyefanmya mashambulizi hayo, ingawa maafisa wakuu wamelaumu kundi la waasi la Uganda la ADF.
Alisema maelfu ya watu wameachwa bila makao kutokana na vurugu zinazoendelea na kwamba wanahofia sana kurejea makwao.
Taarifa kwa vyombo vya habari:



Mwenyekiti wazalendo Taifa Ndg. Daud Mrindoko afanya uteuzi wa na fasi zifuatazo:-



1: Ndg. Mchungaji Prince D. Emmanuel- Katibu Habari na Maelezo Mkoa wa KILIMANJARO.

2: Ndg. Abdillah Zuber- Katibu Elimu na Jamii Mkoa wa Kilimanjaro.

3: Ndg. Happyness M. Kipokola- Katibu Jinsia na Watoto Mkoa wa Kilimanjaro.



Kutona na uteuzi huo umefanya safu ya uongozi katika Taasisi ya wazalendo mkoa wa kilimanjaro kukamilika kwa nafasi zote.



Taasisi ya wazalendo Taifa inawapongeza kwa wale wote wliopata uteuzi huo ni inawatakia majukumu mema.





Imetolewa na Idara ya Habari na Maelezo Taifa.



Hassan husein- Katibu

Jumapili, 7 Desemba 2014


Katibu Hamasa na chipukizi UVCCM wilaya ya Moshi vijijini Ndg. Hassan husein akihutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Komela kata ya Marangu amefanikiwa kusambaratisha ngome ya wapinzani katika eneo hilo.


Katika mkutano huo uliohudhuriwa na wanakijiji wa eneo hilo Katibu wa Hamasa na Chipukizi UVCCM wilaya ya Moshi vijijini amewataka wananchi wa kijiji hicho kutokufanya makosa ya kuchagua kiongozi. Katibu huyo amewataka wananchi hao kumchagua kiongozi kwa kuangalia kama ana sifa za kuwa kiongozi ili wapate kiongozi bora na si bora kiongozi.

 Amewataka wananchi kutambua sifa za kiongozi wanaye muhitaji ni lazima awe anajua pato la taifa linapopatikana na ajue wananchi ni wachangiaji hivyo wana haki ya kupata huo mgawo. Katibu huyo anasema.." wote tunajua umuhimu wa kupata viongozi hasa kipindi hiki, nawasihi tuchague viongozi si kwa itikadi zao bali tutizame sifa wanazo? Je, anatambua wananchi wake wanahitaji nini?.."


Pia, ametumia nafasi hiyo kuwanadi wagombea wa chama cha mapinduzi wa ngazi zote, huku akiwataka wananchi kuwaamini na kuwapa kura ndiyo siku hiyo ya kupiga kura. Baadhi ya wagombea aliowanadi ni Ndg. Alphonce Mavula kwa nafasi ya Uenyekiti wa kijiji na wagombea wote kwa nafasi za vitongoji.


Katika hali isiyo ya kawaida Mkutano wa chadema na Nccr-Mageuzi uliingia dosari baada ya wagombea wa vyama hivyo kugomba kwa kushutumiana kuhujumiana wenyewe, hali ambayo ilipelekea Mkutano huo kuvunjika hata kabla ya muda kuisha.

Katibu Hamasa na Chipukizi Ndg. Hassan husein akisema jambo mbele ya wananchi

Mkutano huo wa hadhara pia ulihudhuriwa na wananchi wa vitongoji vingine huku wenyeji wakiwa kitongoji cha Komela. Wananchi wamefarijika na namna mkutano huo ulivyoenda vema na elimu nzuri waliyopata toka kwa Katibu hamasa wa vijana wa wilaya.


Katibu wa itikadi ya siasa na uenezi ya kata wa CCM Ndg. Pantaleo Meela akimvalisha Katibu hamasa bendera ya chama cha mapinduzi katika mkutano huo wa hadhara. Upande wa kulia ni Katibu wa CCM kata Marangu Magharibi akifatilia tukio hilo kwa umakini.
Mgombea wa CCM kwa nafasi ya Uenyekiti wa kijiji cha Komela Ndg. Alphonce akipeana mkono na Katibu hamasa na chipukizi UVCCM wilaya ya moshi vijijini Ndg. Hassan husein




TAASISI YA WAZALENDO TANZANIA


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Tarehe 07/12/2014.

Mwenyekiti wa Wazalendo Taifa Ndg. Daud Mrindoko amewateua viongozi mbali mbali wa Taasisi ya wazalendo Taifa.

1: Ndg Dkt. Shabani Mohammed- Katibu wazalendo idara ya nchi za nje(kimataifa) Taifa.

2: Ndg. Abdallah Chavula- Katibu wazalendo Baraza la Wazee Taifa Elimu na Jamii.

3: Ndg. Patrick A. Massanja- Mwenyekiti wazalendo Mkoa wa GEITA.

4: Ndg. Mullowellah A. Mtendah- Mwenyekiti wazalendo Mkoa wa MTWARA.

5: Ndg. Egno L. Ndwango- Katibu wazalendo Mkoa wa MTWARA.

6: Ndg. Bakari Chijumba- Katibu Habari na Maelezo Mkoa wa MTWARA.

7: Ndg. Sospeter C. Magumba- Katibu Hazina na Maadili Mkoa wa MTWARA.

8: Ndg. Jerry M. Bias- Katibu Elimu na Jamii Mkoa wa MTWARA.

9: Ndg. Pendo M. Nanjama- Katibu Jinsia na Watoto Mkoa wa MTWARA.

10: Ndg. Andrew M. Lupili- Katibu wazalendo Habari na Maelezo Mkoa wa SHINYANGA.

11: Ndg. Mweya W. Sauti- Katibu Hazina na Maadili Mkoa wa SHINYANGA.

12: Ndg. Happy Katamika- Katibu wazalendo Jinsia na watoto




Imetolewa na 
Idara ya Habari na Maelezo Taifa:


Hassan Husein
Katibu

Jumamosi, 6 Desemba 2014

Rais wa Ufaransa Francois Hollande Jumamosi (06.12.2014) amekuwa kiongozi wa kwanza wa Ulaya 
kwenda Urusi kujaribu kupunguza mkwamo na Vladimir Putin kuhusiana na Ukraine. 

Rais Hollande wa Ufaransa(kushoto) na rais Vladimir Putin wa Urusi(kulia)
Wakati huo huo serikali mjini Kiev imetangaza duru mpya ya mazungumzo ya amani wiki ijayo.
Mkutano kati ya Hollande na Putin katika eneo la kidiplomasia katika uwanja wa ndege nje ya mji mkuu wa nchi hiyo , umekuja wakati mzozo katika eneo la mashariki mwa Ukraine umeporomosha uhusiano kati ya mataifa ya magharibi na Urusi na kuwa katika kiwango chake cha chini kabisa tangu wakati wa baada ya vita baridi.
Hollande na Putin(kulia) katika mkutano wao mjini Moscow
Kiongozi huyo wa Ufaransa amesema ana matumaini ya kuzuwia mtengano mwingine wa mataifa ya magharibi na mashariki na kwamba anamatumaini kuona "matokeo mazuri " kutoka katika mazungumzo hayo na Putin, ambaye mataifa ya Ulaya na Marekani yanamshutumu kwa kuwapa silaha na fedha waasi mashariki mwa Ukraine.
Kutumia fursa
"Kuna wakati ambapo tunahitaji kutumia fursa. Huu ndio wakati.. nafikiri tunapaswa kuzuwia kuta nyingine kututenganisha," amesema Hollande, ambaye pia amezungumza na rais wa Ukraine Petro Poroshenko mapema jana.
"Tunapaswa kutafuta suluhisho kwa pamoja," amemwambia kiongozi huyo wa Urusi, ambaye wiki hii ametoa hotoba ya kikakamavu akiyashutumu mataifa ya magharibi kwa kuikandamiza Urusi.

Rais wa Ukraine Petro Poroshenko
Putin amesema kuna "matatizo magumu" kuyashughulikia lakini ziara hiyo , bila shaka itachangia katika suluhisho la matatizo mengi." Katika hatua muhimu ya kukiri, Putin amesema kwa mara ya kwanza kwamba waasi wanaoiunga mkono Urusi wamekiuka makubaliano tete ya kusitisha mapigano na Ukraine.
"Tunaona kwamba pande zote mbili viongozi wa Ukraine na upande wa viongozi wa Donetsk na Lugansk , kwa pande zote , si kila kitu ambacho kimeheshimiwa," amewaambia waandishi habari baada ya mkutano ambao umechukua karibu masaa mawili.
Ziara ya dakika za mwisho ya Hollande , ambayo chanzo kimoja katika ujumbe wake kimesema pia ilikubaliwa na kansela wa Ujerumani Angela Merkel , imekuja wakati Ukraine imetangaza duru mpya ya mazungumzo na waasi mjini Minsk wiki ijayo kujaribu kuokoa makubaliano ya mwezi Septemba yaliyovurugika ya kusitisha mapigano.
Mazungumzo mapya
Mazungumzo hayo yatafanyika siku ya Jumanne, pia tarehe hiyo imepangwa na pande zote kwa ajili ya kupatikana makubaliano mapya ya kusitisha mapigano.
Ukraine na waasi, ambao mapigano yao upande wa mashariki mwa nchi hiyo yamesababisha vifo vya zaidi ya watu 4,300 , wamekubaliana kusitisha operesheni zao Desemba 9, na kuiita siku ya "ukimya".

Rais Vladimir Putin wa Urusi
"Katika muda wa siku 30 , pande hizo mbili zitawajibika kurejesha nyuma silaha zao nzito kutoka katika eneo lisilotakiwa kuwa na mapambano ya silaha lililoainishwa katika rasimu ya Minsk," Poroshenko amesema. Kiongozi huyo wa Ukraine pia amesema kwamba pande zitakazokutana katika mji mkuu wa Belarus zitalenga katika "kuthibitisha muda maalum uliopangwa kutekeleza makubaliano ya mwanzo ya Minsk."
Makubaliano ya mwanzo yalizitaka pande zote kuacha kushambulia na kuondoa silaha na majeshi yao, lakini yalifanikiwa tu kuzuwia ghasia mbaya kutokea bila ya kusitisha machafuko kabisa.

Mwenyekiti wa wazalendo Taifa Ndg. Daud Mrindoko akiongea na baadhi ya vyombo vya habari amesema kuwa Taasisi ya wazalendo Taifa inatarajia kuzindua mavazi yenye nembo ya Taasisi hiyo hivi karibuni.

Hayo ameyasema huku mavazi hayo yakisubiriwa kwa hamu sana na watu wengi ambao wanaunga mkono uzalendo wa Taifa hili.

Pia, amesema mavazi hayo yatasambazwa nchini kote na muda utakapowadia utaratibu maalumu utatangazwa namna ya kuyapata mavazi hayo.

Amewataka wananchi wazalendo kuunga mkono Taasisi hiyo kwa kuweza kununua mavazi yao.


Ancelotti: Ronaldo is at his peak

Carlo Ancelotti has said Cristiano Ronaldo is at his physical peak, after the Real Madrid attacker scored his 200th league goal.

The club talisman scored all three goals for his side as they beat Celta 3-0 on Saturday to reach the milestone after 178 appearances, simultaneously breaking the record for most hat-tricks in the Spanish top flight with his 23rd treble.

And Ancelotti has heaped praise upon his star player, saying that having him in the team gives Madrid a huge boost

"Having him in the team is a great advantage," he told reporters. "He is doing very well at that moment, he is extraordinarily motivated and physically he is at his peak."

The Italian coach has also expressed his concern over James Rodriguez, who was substituted early in the second half, revealing that the Colombian picked up an injury. 
"James has had a calf injury. We will evaluate it in the coming days. Obviously we are not happy with his injury, but we will have Isco and [Sami] Khedira back.
"These injuries, along with Modric's, are problems that come from time to time with all of these games, but we can replace them well."
We need new words to describe Ronaldo - Ramos

The Portuguese attacker scored a record 23rd Liga hat-trick and his 200th goal in the Spanish top flight and the defender has been singing his praises

Sergio Ramos has hailed Real Madrid team-mate Cristiano Ronaldo, stating that there are no words accurate enough to describe how good the record-breaking attacker is.

Ronaldo scored all three goals for his side in their 3-0 win over Celta, reaching the tally of 200 goals in La Liga and simultaneously breaking the record for most hat-tricks in the Spanish flight with his 23rd treble.

Ramos has spoken of the "privilege" that comes with playing in the same team as the 2014 Fifa Ballon d'Or nominee and believes that new adjectives are needed to describe how good he is.

"The statistics he is reaching are crazy," the defender said after his side's 18th straight victory in all competitions.

"The truth is it's a privilege that Real Madrid has a player like him.

"You have to invent words to describe him. He is breaking every record. At the moment, he is maybe in the best form of his career."

Coach Carlo Ancelotti is expected to sign a new contract with the European champions and Ramos would be delighted to see the Italian stay.

"It's great news. He is a steady coach and we hope he is here for as long as possible.

"Carlo knows how to manage the team and I hope he stays here."
Jeshi la Uingereza likiwa katika gwaride.Uingereza imeafikiana na Bahrain kuweka kituo chake cha jeshi nchini humo.
Uingereza imesaini makubaliano na Bahrain ya kujenga kituo cha jeshi la wanamaji nchini humo ambacho kitakuwa ndicho kituo cha kwanza cha jeshi la Uingereza eneo la mashariki ya kati tangu iondoke eneo hilo mwaka 1971.

Makubaliano hayo yaliafikiwa baada ya mieizi kadhaa ya mazungumzo.
Waziri wa ulinzi nchini Uingereza Michael Fallon alisema kuwa kituo hicho kitaliwezesa jeshi la wanamaji la Uingereza kuleta udhabiti eneo la Ghuba.

Mwandishi wa masuala ya usalama wa BBC anasema kuwa makubaliano hayo yanafanyika wakati nchi za Ghuba zinakabiliwa na tishio kutoka kwa wanamgambo wa Islamic State.

 
Kiongozi wa Oparesheni wa kundi la Al Qaeda auawa nchini Pakistan katika uvamizi.
Kiongozi mwandamizi wa kundi la wanamgambo wa Al Qaeda anayeshukiwa kupanga kulipuwa treni mijini New York na London ameuawa nchini Pakistan,kwa mujibu wa Jeshi la nchi hiyo.

Adnan el Shukrijumah aliuawa katika shambulizi kazkazini magharibi mwa Pakistan karibu na mpaka wa Afghanistan,jeshi hilo limesema.
Maafisa wa kundi la Ujasusi kutoka Marekani FBI wamekuwa wakimtaja kuwa mkuu wa kitengo cha oparesheni katika kundi la Al Qaeda,wadhfa ambao ulishikiliwa na mtu anayeshukiwa kupanga njama za shambulizi la Septemba 11 Khalid Sheikh Mohammed.

Shukrijumah alizaliwa nchini Saudi Arabia na kuishi kwa miaka kadhaa nchini Marekani.
Aliorodheshwa katika mashtaka kama muhusika wa kupanga njama katika kesi dhidi ya watu watatu wanaoshutumiwa kwa kupanga mashambulizi ya kujitolea muhanga katika barabara za treni mjini New York mwaka 2009.

Pia anashukiwa kupanga njama za kutekeleza mashambulizi ya kundi ya Al Qaeda nchini Panama,Norway na Uingereza.
Uvamizi huo wa mapema leo ulifanyika katika jimbo la Shinwarsak kusini mwa Waziristan,ambalo ni eneo la Kazkazini magharibi mwa mkoa uliopo karibu na mpaka.
Jimbo hilo ni kambi ya wapiganaji wa Taliban nchini Pakistan na washirika wao.
 
          
Waziri mkuu wa Somali Abdiweli Sheikh Mohammed Kushoto aliyengatuliwa mamlakani
Wabunge wa Somali wameng'oa waziri mkuu wa taifa hilo Abdiweli Sheikh Ahmed mamlakani.
Ni mara ya nne kwamba kura ya kutokuwa na imani dhidi yake ilipigwa baada ya majaribio ya awali kumalizika kwa ghasia.

Waandishi wanasema kuwa serikali ilikuwa imelemazwa na uhasama baina ya kiongozi huyo na rais wa taifa hilo Hassan Sheikh Mohamud.

Wanasema kuwa usalama ulikuwa umezorotoa kutokana na hali hiyo.
Abdiweli ni waziri mkuu wa pili kuwahi kuondolewa madarakani mwaka huu.
Marekani imeshtumu kura hiyo ikisema kuwa haikuzingatia maslahi ya raia wa Somali.
 
                          Rais Mugabe na mkewe, Grace
Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe anatarajiwa kuhutubia maelfu ya wajumbe
katika siku ya mwisho ya mkutano mkuu wa chama tawala cha ZANU-PF mjini
Harare.
Katika hotuba yake Bwana Mugabe anatarajiwa kutangaza nani
atachukua nafasi ya makamo wa rais, Joice Mujuru, ambaye ametuhumiwa
kufanya ufisadi.
Waandishi wa habari wanasema aliyeelekea
kuteuliwa ni waziri wa sheria, Emmerson Mnangagwa, lakini baadhi ya watu
wanasema Rais Mugabe huenda akamteua mkewe, Grace, kuwa naibu wake.
Makamo wa rais ndiye huenda akarithi uongozi kutoka kwa Bwana Mugabe ambaye ametimia miaka 90.

Ijumaa, 5 Desemba 2014










The ex-England international feels that the Argentine and his colleagues no longer have the same drive and determination that made them world-beaters under Pep Guardiola

The Catalans won three consecutive Liga titles, two Copa del Rey crowns, two Champions Leagues and two Fifa Club World Cups during a glorious four-year spell between 2008 and 2012 under former coach Pep Guardiola.

Barca failed to claim a single major honour last season, though, and are now finding their feet under new boss Luis Enrique.

Scholes went to watch the Blaugrana in person at the Mestalla last weekend and was distinctly unimpressed by the attitude of Messi and his colleagues during a 1-0 win that came courtesy of a last-minute goal from Sergio Busquets.

"For much of the game I felt they were a ghost of the side they had once been," the former England international wrote in The Independent.

"They still pass the ball relentlessly, but that old drive and tempo are not nearly as urgent. The breathtaking speed and penetration have gone...

"When I try to find a way of summarising the attitude of the team, and of some longer-serving individuals, I keep alighting on the word "bored".

"It is not meant to sound flippant, but it just seems the most accurate way to describe the way the team seem to treat the style of football that once made them the best side on the planet...

"As for Messi, his achievements put him in a different category to the rest of us who played the game. But even so, in him, as much as anyone, I detected that mood of boredom.

"He has never been a player given to chasing the full-back when his team lose the ball, but now, more than ever, he keeps his movement to an absolute minimum."

Scholes added that he doubts whether Luis Enrique will be able to get Messi and his team-mates back playing at their brilliant best.

"For a young manager like him, it will be hard to change the way Messi, and the rest of the stars in this team, play the game," he argued.

"They have won it all. They have conquered the world. Now Enrique has to find a way of persuading them to do it all over again, on his terms.

"You could see him on the touchline trying, and largely failing, to get them to play with greater urgency."

Scholes was a part of the Manchester United sides beaten by Guardiola's all-conquering Barcelona in the 2009 and 2011 Champions League finals

Kumbukumbu la Blogu

Inaendeshwa na Blogger.

Machapisho Maarufu

Machapisho ya Karibuni

Recent Posts Widget