Mwenyekiti wa Wazalendo Tanzania Ndg.Mrindoko Babu Mwidadi Daudi atoa mpya leo kwenye Kata ya Bondeni Mjini Moshi....
Baada ya kukuta mafundi Ujenzi wakipata chakula chao cha Mchana na kuungana nao pamoja na kula nao bila kupakua...Hii yote ni kuonyesha yeye ni sawa na hao mafundi na anakubaliana na maisha yao na atakuwa nao karibu kila wakati, Japo kazi hiyo ni Yeye aliwapa ya Ujenzi wa Vyumba vya Office hakuwa mbali nao na kushirikiana nao...
Mwenyewe Mwenyekiti wa Wazalendo alisema haya:-Me ni kijana wa Bondeni na Mzaliwa wa hapa hapa najivunia kushirikiana na wana Bondeni kwa pamoja na kuongeza uchumi ktk Eneo la Chama cha mapindizi Bondeni...na pia kitendo changu cha kula na mafundi ni kuongeza ushirikiano wetu wa kuwa pamoja...Inaitwa hakuna kupakua ni kula juu kwa juu....
kwani Uzalendo ni Vitendo..
Uzalendo wetu ndiyo Utanzania Wetu
Uzalendo wetu ndiyo undugu wetu!!!
Wenu MTANZANIA JITAMBUE kutoka Moshi-Kilimanjaro
0 maoni:
Chapisha Maoni