Alhamisi, 11 Septemba 2014

Matokeo BAVICHA
makam mwenyekiti znz
  Zeudi Abdalah 127
  Shaban Omary 111

Makam m/kit bara
  Patric Sosopi 128
Jesca Kishoha 110

M/kiti
  Paschal Patrobas 173
  Upendo Peneza 70
Paschal Patrobas aliyepata kura 173
Upendo Peneza kura 70

M/KITI BAVICHA PASCHAL  PATROBAS
awabwaga wagombea walikuwa na Support za wakubwa wa CDM...HUKU MDHAMINI MKUBWA CDM NA MFADHILI PENEZA PENDO NDG.REGNAL MENGI NAYE APIGWA NA KITU CHENYE NCHA KALI...NA KIJANA MWENYE MLENGO WA ZITTO KABWE NA PROF.KITILA MKUMBO ASHINDA UENYEKITI BAVICHA...HII NI DALILI CDM NA MENGI HAWANA NGUVU TENA ZA USHAWISHI...KWANI PESA ZILITEMBEA ILA MWISHO WAMEANGUKIA PIA....UTAPOTUMIA PESA ZIKASHINDIKANIKA KUFANIKISHA JAMBO UJUE SASA NI MWISHO WA MAMBO YAKO KUKUBALIKA KWA JAMII....HII NI DALILI MBOWE YUKO MASHAKANI KWENYE UCHAGUZI WAKE WA UENYEKITI TAIFA...
TUSUBIRIE TUJIONEE KITU CHENYE NCHA KALI KILICHO MWANGUKIA KICHANI....

0 maoni:

Chapisha Maoni

Kumbukumbu la Blogu

Inaendeshwa na Blogger.

Machapisho Maarufu

Machapisho ya Karibuni

Recent Posts Widget