Mkuu wa wilaya ya Korogwe Mh Mrisho Gambo akiwa na kamati ya wilaya katika ukaguzi wa jengo la maabara ya shule.Mh Gambo na wananchi wa Korogwe wamejitolea kujenga Maabara katika shule zote za wilaya ya Korogwe.
Jumapili, 7 Septemba 2014
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 maoni:
Chapisha Maoni