Kutoka kushoto mkuu wa wilaya ya Ludewa Juma Madah ,mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe na mbunge wa jimbo la kigoma kaskazani Zitto Kabwe wakiwa katika msiba wa babake Filikunjombe mjini Ludewa jana.
|
DC Ludewa Bw Juma Madaha akitambulisha viongozi mbali mbali
Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe kushoto akilitazama jeneza lenye mwili wa babake marehemu Frolian Filikunjombe likiingizwa ndani ya kanisa la RC Ludewa kwa ajili ya ibada ya mwisho kabla ya mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya Ludewa mjini
0 maoni:
Chapisha Maoni