Steve Yanga ahamia Azam .
Yule Shabiki no 1 wa Yanga ahamia Rasmi Azam.
Steve ambaye alijipatia Umaarufu wkt wa mechi ya Yanga na Simba baada ya Yanga Kufungwa Goli 5 ndio akalia kwa Uchungu .
Leo ameonekana najezi ya Azam.
Baada Ya Mtanzania Jitambua Kumuhoji akadai amehama baada yakupata Fedhea siku ya Kumpokea Maximo Airport eti Mashabiki wenzake wa Yanga walitaka kumpgia kisa Kuonekana Kushiriki Shindano la Kwetu House lililokua Likiendeshwa na Azam Tv. Hata hvyo Steve alikimbilia Wanapoondokea Wasafiri akaokolewa na Askari wa Doria Uwanja wa Ndege
Sijui leo baada ya kufungwa 3 na Yanga atalia kwa mapenzi mapya ya AZAM????? SOKA LA BONGO HILI
0 maoni:
Chapisha Maoni