Jumamosi, 29 Novemba 2014


                                                      Chama Cha Mapinduzi Logo.png

Chama cha mapinduzi wilaya ya UYUI mkoani TABORA kimepita bila kupingwa kuelekea katika uchaguzi wa serikali za mitaa vijiji 57 kati ya vijiji 156.

Pia, imepita bila kupingwa katika vitongoji 346 kati ya vitongoji 688. Ni ishara kwamba wilayani hapo chama cha mapinduzi kinaendelea kukubalika na wananchi kwa kutekeleza ilani yake kwa kiwango kikubwa kiasi cha kuendelea kuaminiwa na wananchi wa wilayani hapo.

Kwa taarifa za uhakika toka kwa wananchi kuna uwezekano mkubwa kwa vijiji na vitongoji vilivyobakia kuchukuliwa na chama cha mapinduzi.

0 maoni:

Chapisha Maoni

Kumbukumbu la Blogu

Inaendeshwa na Blogger.

Machapisho Maarufu

Machapisho ya Karibuni

Recent Posts Widget