Mratibu wa safari za viongozi wa wanafunzi vyuo vikuu Tanzania Ndg. Nickson Mmanyi aendesha semina ya viongozi wa serikali za wanafunzi wa vyuo vikuu toka Arusha.Mratibu wa semina Ndg. Nickson Mmanyi akitoa ufafanuzi wa jambo wakati wa semina hiyo
Semina hiyo ilijumuisha Marais, mawaziri wakuu na maspikaa wa vyuo vikuu mbalimbali toka mkoani Arusha. Kwa mujibu wa muandaaji huyo anasema " semina hii ina lengo la kuwaelimisha nafasi ya wasomi vijana uchaguzi 2015, na kufafanua mambo mbalimbali ya siasa ya nchi(contemporarily incidents).."
Ndg. Hassan Kisauti akitoa ufafanuzi wa jambo kwa viongozi hao wa serikali za wanafunzi vyuo vikuu
Viongozi wa wanafunzi wakifuatilia kwa ukaribu semina elekezi hiyo
Ndg. Nickson Mmanyi wa kwanza kulia akiwa na Mshiriki wa semina nje ya ukumbi
0 maoni:
Chapisha Maoni