Jumanne, 11 Novemba 2014



Mwenezi
wa Chama cha Mapinduzi Moshi vijijini  ,Hussein Jamal akizungumza
wakati wa kikao cha makatibu kata na makatibu wa matawi kilichofanyika
katika hotel ya King Size Himo.
     
Mwenyekiti
wa Makatibu katika jimbo la Vunjo ,Shaban Mwangi akisoma taarifa ambayo
inadaiwa kupikwa kwa lengo la kukivuruga chama hicho katika jimbo la
Vunjo.

Naibu
kamanda wa vijana wilaya ya Moshi vijijini ,Innocent Shirima
akizungumza wakati wa kikao hicho kilichokuwa na lengo la kurudisha hali
ya amani na umoja ndani ya chama cha mapinduzi jimbo la Vunjo.
Katibu
wa Chama cha Mapinduzi wilaya ya Moshi vijijini Miriam Kaaya
akizungumza wakati wa kikao hicho ambacho kilijadili pia tuhuma
zilizotolewa dhidi yake.
Makatibu wakila kiapo .
Baadhi ya makatibu katika kikao hicho.

0 maoni:

Chapisha Maoni

Kumbukumbu la Blogu

Inaendeshwa na Blogger.

Machapisho Maarufu

Machapisho ya Karibuni

Recent Posts Widget