Ijumaa, 7 Novemba 2014

Umoja wa wanafunzi wa shule ya msingi ya Hananasif walioanza 1994-2001, hivi karibuni wanatarajia kuzindua umoja wao. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa umoja huo Ndg. Florence Vicent akithibitisha hilo '' Kilichokuwa kikisubiriwa ni kukamilika kwa Katiba na Kanuni za umoja wetu, hatua za awali zimekamilika na tayar kikao kimoja kimefanyika''..

Umoja huo wenye malengo ya kufahamiana na na pia kujijenga kiuchumu zaidi akiendelea kutolea ufafanuzi Mwenyekiti huyo.

Wajumbe wengi waliopo ndani ya Umoja huo wameonesha kufarahishwa na umoja huu na wana mategemeo makubwa sana ya kufika mbali.

Mwenyekiti huyo ametoa wito kwa wanafunzi wote waliomaliza miaka hiyo wafanye mawasiliano na yeye au Katibu ndg. Said Kipaso au Mweka hazina wa umoja huo Ndg. Moses Kihengu.

0 maoni:

Chapisha Maoni

Kumbukumbu la Blogu

Inaendeshwa na Blogger.

Machapisho Maarufu

Machapisho ya Karibuni

Recent Posts Widget