Msafara wa Mlezi wa ccm mkoa wa kilimanjaro ukiingia kijiji cha Mikocheni kata ya TPC wilayani moshi vijijini
Msafara wa Mlezi wa ccm mkoa wa kilimanjaro ukisisimamishwa na wananchi kwa furaha ya kutaka kumsalimia
Maandamano ya wananchi wakimsindikiza Mlezi wa CCM Mkoa wa kilimanjaro Dkt. Emmanuel Nchimbi kuelekea katika mkutano wa hadhara
Dkt. Emmanuel Nchimbi wa kati akiwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa kilimanjaro kulia kwake na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Moshi vijijini kushoto kwake wakisindikizwa kwa maandamano na wananchi
Mwananchi akimsalimia Mlezi wa CCM Mkoa wa kilimanjaro kwa furaha ya kumuona
Mlezi wa CCM Mkoa kilimanjaro akabidhiwa fimbo ya heshima na kiongozi wa kimila toka kwa LWAIGONANI wa kijiji hicho
Akivishwa shuka ya kimila kumpa heshima ya juu Mlezi wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro
Akiwa katika vazi rasmi alilopewa na Lwaigoni kwa heshima ya kijiji hicho
Morans wakipita mbele ya mgeni rasmi kumpa heshima yake ya kimila
Mlezi wa CCM Mkoa wa kilimanjaro akishikana mikono na LWAIGONANI kuashiria umoja na mshikamano
Wananchi wengi wa kijiji hicho wajitokeza katika mkutano huo wakiwa na kiongozi wao wa kimila wa kijiji hicho
Baadhi ya wananchi wa kijiji hicho wakiwa wanatizama kinachoendelea
Mlezi wa CCM mkoa wa kilimanjaro wakiwa pamoja na Katibu hamasa na chipukizi wilaya ya Moshi vijijini Ndg. Hassan Husein na LWAIGONANI
Picha ya pamoja ya viongozi mbali mbali
Katibu wa UVCCM Mkoa wa kilimanjaro Ndg. Yassin Lema wa kati akiwa na
Katibu wa jumuiya ya wazazi wa mkoa wa kilimanjaro kushoto kwake na
Aliyewahi kuwa mbunge wa viti maalumu Mama Shally Raymond wakifuatilia mkutano
0 maoni:
Chapisha Maoni