Jumamosi, 29 Novemba 2014


                                                      Chama Cha Mapinduzi Logo.png

Chama cha mapinduzi wilaya ya UYUI mkoani TABORA kimepita bila kupingwa kuelekea katika uchaguzi wa serikali za mitaa vijiji 57 kati ya vijiji 156.

Pia, imepita bila kupingwa katika vitongoji 346 kati ya vitongoji 688. Ni ishara kwamba wilayani hapo chama cha mapinduzi kinaendelea kukubalika na wananchi kwa kutekeleza ilani yake kwa kiwango kikubwa kiasi cha kuendelea kuaminiwa na wananchi wa wilayani hapo.

Kwa taarifa za uhakika toka kwa wananchi kuna uwezekano mkubwa kwa vijiji na vitongoji vilivyobakia kuchukuliwa na chama cha mapinduzi.


Matokeo ya mwanzo ya uchaguzi mkuu wa Namibia yanaonesha kuwa chama tawala cha SWAPO kimeshinda kwa kura nyingi.

SWAPO imetawala Namibia tangu nchi hiyo kupata uhuru mwaka wa 1990.
Lakini wanasaiasa wa upinzani kwa mara nyengine tena wanataka kura ibatilishwe, wakidai kuwa kanuni zilikiukwa na wapigaji kura waliendelea kupiga kura hata baada ya muda uliowekwa.
Mahakama makuu katika mji mkuu, Windhoek, yalitupilia mbali madai ya kuahirisha uchaguzi uliofanywa Ijumaa.

Wanasiasa wa upinzani wanasema upigaji kura wa digitali, bila ya kutumia karatasi, unatoa fursa ya kufanya udanganyifu.

Tume ya uchaguzi imekiri kuwa kulitokea matatizo kwenye mashine wakati wa kupiga kura, hata hivyo inasema matokeo yatakuwa ya kuaminika.
                                                     Chama Cha Mapinduzi Logo.png


Chama cha mapinduzi wilaya ya Monduli mkoani Arusha kimepita bila kupingwa kuelekea katika uchaguzi wa serikali za mitaa vijiji 57 kati ya vijiji 68.

Pia, imepita bila kupingwa katika vitongoji 206 kati ya vitongoji 250. Hali hii ni ishara ya kwamba wilayani Monduli chama cha mapinduzi kimeweza kutekeleza ilani yake kwa kiwango kikubwa kiasi cha kuendelea kuaminiwa na wananchi wa wilayani hapo.

Kwa taarifa za uhakika kuna uwezekano mkubwa kwa vijiji na vitongoji vilivyobakia kuchukuliwa na chama cha mapinduzi.


Katika hali ya kuonekena chama cha mapinduzi kuendelea kuaminika hasa katika utekelezaji wa ilani yake, Wilaya ya Rungwe mkoani mbeya imepita bila kupingwa katika vijiji 47 na pia kupata vitongoji 207 bila kupingwa.




Mabaki ya helcopter iliyoanguka maeneo ya Moshi bar- Ukonga wilayani Ilala


Helcopter mali ya serikali wizara ya mali asili yaanguka maeneo ya moshi bar mombasa jijini Dar es salaam na kuua watu wanne waliokuwepo ndani humo na kuangukia nyumba zilizokuwepo maeneo hayo.



Baadhi ya picha za matukio ya ajali hiyo ya helcopter hiyo..



 Baadhi ya marubani waliofariki waliokuwepo ndani ya helcopter iliyopata ajali
 Mabaki ya helcopter

Ijumaa, 21 Novemba 2014

Watu 11 wamefariki katika mkanyagano nchini Zimbabwe baada ya ibada ya kidini kufanayika katika uwanja wa soka.

Polisi wanasema kuwa watu wanne walifariki katika uwanja huo ulio mjini Kwekwe wakati wengine saba wakifariki hospitalini.
Mkanyagano huo ulitokea wakati maelfu ya waumini wakikimbilia kuondoka uwanjani humo baada ya ibada iliyoongozwa na mhubiri wa kipentekoste Walter Magaya. Mhubiri huyo anadai kuwaponya watu kwa kufanya miujiza.

Baadhi ya walioshuhudia mkanyagano huo wanatuhumu polisi kwa kufunga baadhi ya milango ya kuondokea uwanjani humo, huku watu wakiondoka kupitia mlango mmoja tu.
Hata hivyo polisi wanakana kutumia gesi ya kutoa machozi kuwatawanya.
Bwana Mugaya ambaye ni mkuu wa kanisa la 'Prophetic Healing and Deliverance' aliambia vyombo vya habari kuwa alipopata habari ya kutokea vifo hivyo alihuzunika sana.

Scott alichukua usukani baada ya aliyekuwa Rais Michael Sata kufariki

Chama tawala nchini Zambia (PF) kimemtimua kaimu rais wa nchi hiyo Guys Scott kutoka chamani na kuvunja utaratibu wa katiba.
Taarifa hii ni kwa mujibu wa msemaji wa chama hicho.

''Amekuwa akiwaajiri na kuwafuta watu kazi ovyo na pia bila ya kushauriana na kamati kuu ya chama,'' amesema Malozo Sichone.

Bwana
Scott, ambaye licha ya hatua hiyo ataendelea kuwa mwanachama wa chama
hicho, ataendelea kuhudumu kama kaimu rais hadi uchaguzi utakapofanyika
tarehe 20 Januari.

Scott aliteuliwa kuwa kaimu rais kufuatia kifo cha hayati Rais Michael Sata aliyefariki mwezi jana.

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi761siT8c38HGjsQ77GI9dXb8WCbctJiqFyUezRhiu4IgzHNgukueUwRggC_sF4xsiaI4iAT4MG4hfOQhJbpk74zD-IZuwnkTNYnr2E14x3PgIOyUcCzZ7ypr8ZE84H5tC9xtxg-eSEyM/s1600/D92A4106.jpg

                                    Rais Kikwete akitoka hospital anayopatiwa matibabu
 https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhm7jQkyc32BRmPclc5rMmU-NBlkSy0brVb032bGEoP8Lygvnkj526x35yESA_n7BQGssCVxBiiTmAVslCqV9cfep9hmXIp_Tg_35EHH5GuRef-lANUsqS0ZdAbOshexSUcXt5EHdHcnf0/s1600/0L7C0136.jpg
                                                              Rais akiwa amepumzika

Jumamosi, 15 Novemba 2014

Toka Arusha, 15/11/2014.
Mratibu wa semina Ndg. Nickson Mmanyi akitoa ufafanuzi wa jambo wakati wa semina hiyo
Mratibu wa safari za viongozi wa wanafunzi vyuo vikuu Tanzania Ndg. Nickson Mmanyi aendesha semina ya viongozi wa serikali za wanafunzi wa vyuo vikuu toka Arusha.

Semina hiyo ilijumuisha Marais, mawaziri wakuu na maspikaa wa  vyuo vikuu mbalimbali toka mkoani Arusha. Kwa mujibu wa muandaaji huyo anasema " semina hii ina lengo la kuwaelimisha nafasi ya wasomi vijana uchaguzi 2015, na kufafanua mambo mbalimbali ya siasa ya nchi(contemporarily incidents).."



Ndg. Hassan Kisauti akitoa ufafanuzi wa jambo kwa viongozi hao wa serikali za wanafunzi vyuo vikuu
Viongozi wa wanafunzi wakifuatilia kwa ukaribu semina elekezi hiyo

 Ndg. Nickson Mmanyi wa kwanza kulia akiwa na Mshiriki wa semina nje ya ukumbi


Mratibu akifanya mahojiano na waandishi wa habari mara baada ya semina hiyo

Ijumaa, 14 Novemba 2014







The former president insists the decision to sack
Walter Mazzarri was made by Erick Thohir and feels the return of the
former Nerazzurri coach will benefit the club
Massimo Moratti has suggested that Robero Mancini will replace Walter Mazzarri as Inter coach and believes he is the best man for the club.


Mazzarri was sacked from his role on Friday, bringing an end to a
great deal of speculation over his future after a poor start to the
campaign.


After guiding the San Siro club to a fifth placed finish in Serie A
last season, Inter currently sit ninth in the league, 12 points adrift
of leaders Juventus.


Inter took the decision to relieve the coach and it was immediately reported that Mancini was the favourite to take over.


Ex-president Moratti insists it was current club chief Erick Thohir
who took the decision and says he is happy to see Mancini, who won three
consecutive league titles with the Nerazzurri in his previous spell at
the club, replace the outgoing Mazzarri.


"Thohir certainly had it in his mind to fire Mazzarri. You have to ask Thohir about it," Moratti said.


"I'm sorry for Mazzarri, he gave it his all. I'm happy for Mancini
and I hope for the best. He's very good, a hard worker and is needed at
this time."

Kroos: Ancelotti needed me at Real Madrid



The World Cup winner says he joined the European
champions because the Italian coach made clear to him he would be a
crucial player for the team
Toni Kroos says he signed for Real Madrid because Carlo Ancelotti told him he "needed him".
The midfielder was signed from Bayern Munich in the summer in a deal worth €25 million (£20m).
The Germany international has gone on to start in all 11 of Madrid's
matches in La Liga, scoring once and setting up a further six goals and
the 24-year-old says he was happy to sign for the European champions
because Ancelotti told him he would be play a pivotal role in the team.
"It was important that I could be sure from the first day that the coach trusted me," the World Cup winner told Suddeutsche Zeitung. "Ancelotti told me that he needed me and he has given me a central role in the team.
"He told me during a telephone conversation that I could make Real Madrid better.

"Ancelotti wanted a little bit more balance in the team’s play, a
little bit more control. He told me that he wanted to further improve
our play, that he wanted to change it, with the intention of having more
phases with possession of the ball. And therefore, he told me that he
needed me.
"I play as a midfielder, and ten yards further back than I did at
Bayern; in reality, I am a ‘six’. The offensive game is not forgotten,
but for now we can say that I am a No.6.

"Pep Guardiola told me at the beginning, ‘Toni, the good players move
around during their career and each time further back.’ With Ancelotti I
could follow that same path."

Alhamisi, 13 Novemba 2014



Mjumbe wa kamati kuu ya CCM taifa Dkt. Emmanuel Nchimbi apokea wanachama wapya zaidi ya mia moja. Afanya zoezi hilo katika mkutano wa hadhara uliofanyika kata ya TPC katika kijiji cha Mikocheni.

Hii ni kata inayoongozwa na diwani wa chadema Ndg. Rodgers, katika hali isiyo kuwa ya kawaida wananchi hao walimlalamikia Diwani huyo wa chadema wa kata yao kwa ahadi za uongo alizowahadaa kipindi cha uchaguzi mkuu 2010.

Baadhi ya wananchi hao walisikika wakisema " huyu diwani rodgers ni muongo sana, alituahidi endapo tutampa ridhaa atahakikisha anafungua uzio wa kiwanda cha TPC ili wapate sehemu za malisho, sasa ni miaka minne jambo hili ameshindwa kututekelezea. Sisi tunaamini ni CCM pekee ndio ina uwezo huo na ndio maana LWAIGONANI wetu amebariki sisi kuichagua CCM kuanzia sasa. Huyu RODGERS hatutaki kumuona tena akija huku.."

Mlezi wa CCM mkoa wa kilimanjaro Ndg. Emmanuel Nchimbi amewataka wananchi hao safari hii wasifanye makosa tena, upinzani haufai hata kidogo mana wao wanachojua ni kupinga tu.



Mlezi wa CCM mkoa wa kilimanjaro akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Mikocheni
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa kilimanjaro akihutubia wananchi wa kijiji hicho


Katibu wa CCM Mkoa wa kilimanjaro akifafanua jambo katika mkutano huo
Katibu wa CCM wilaya ya moshi vijijini akitoa akihutubia wananchi wa kijiji cha mikocheni


Katibu mwenezi wa CCM wilaya ya Moshi vijijini Ndg. Jamal Husein akitoa utambulisho wa viongozi
Mjumbe wa Kamati kuu ya ccm taifa Dkt. Emmanuel Nchimbi akizungumza mbele ya viongozi wa ccm wilaya ya moshi vijijini


Katika tukio la jana tarehe 12/11/2014 la ziara ya mjumbe wa kamati kuu ya ccm taifa na mlezi wa ccm mkoa wa kilimanjaro hakusita kumpongeza Katibu wa chama cha mapinduzi wilaya ya moshi vjijijini MIRIAM SANGIT KAAYA kwa kazi kubwa na juhudi zake za kukijenga chama cha mapinduzi.

Aliyasema hayo mbele ya makatibu kata wote wa chama cha mapinduzi kwa upande wa jimbo la vunjo. Mlezi huyo alisema ".. kwa kuwa niliwapa nafasi ya kusema lolote ili mtoe dukuku zenu, nimefurahishwa kwa namna mnavyomsemea vizuri katibu wenu wa wilaya. Hivyo, mimi nampa alama za asilimia mia moja 100%."

Wakati akiyasema hayo makatibu kata walimshangilia Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa alama alizompa katibu wao wa wilaya.

Mlezi wa CCM mkoa wa kilimanjaro Dkt. Nchimbi aliwataka viongozi hao kushikamana na kutokubali kushushwa thamani yao kwa kuhongwa pesa na wasaka madaraka.



Katibu wa CCM wilaya ya moshi vijijini  Miriama Kaaya na Dkt. Emmanuel Nchimbi wakiwa katika mkutano wa hadhara


 Wakati huo huo, Mlezi wa CCM mkoa wa kilimanjaro hakusita kumsifia tena Katibu huyo wa CCM wilaya ya moshi vijijini katika mkutano wa hadhara. Hayo aliyasema baada ya mapokezi makubwa aliyoyapata , anasema".. wilaya ya moshi vijijini ndio wilaya pekee niliyopata mapokezi makubwa kiasi hichi, tumefurahi sana na nina waahidi kurudi tena katika kijiji hiki cha mikocheni.."




Msafara wa Mlezi wa ccm mkoa wa kilimanjaro ukiingia kijiji cha Mikocheni kata ya TPC wilayani moshi vijijini








Msafara wa Mlezi wa ccm mkoa wa kilimanjaro ukisisimamishwa na wananchi kwa furaha ya kutaka kumsalimia





 Maandamano ya wananchi wakimsindikiza Mlezi wa CCM Mkoa wa kilimanjaro Dkt. Emmanuel Nchimbi kuelekea katika mkutano wa hadhara











Dkt. Emmanuel Nchimbi wa kati akiwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa kilimanjaro  kulia kwake na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Moshi vijijini kushoto kwake wakisindikizwa kwa maandamano na wananchi
Mwananchi akimsalimia Mlezi wa CCM Mkoa wa kilimanjaro kwa furaha ya kumuona
Mlezi wa CCM Mkoa kilimanjaro akabidhiwa fimbo ya heshima na kiongozi wa kimila toka kwa LWAIGONANI wa kijiji hicho
 Akivishwa shuka ya kimila kumpa heshima ya juu Mlezi wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro
Akiwa katika vazi rasmi alilopewa na Lwaigoni kwa heshima ya kijiji hicho
Morans wakipita mbele ya mgeni rasmi kumpa heshima yake ya kimila
Mlezi wa CCM Mkoa wa kilimanjaro akishikana mikono na LWAIGONANI kuashiria umoja na mshikamano
 Wananchi wengi wa kijiji hicho wajitokeza katika mkutano huo wakiwa na kiongozi wao wa kimila wa kijiji hicho


 Baadhi ya wananchi wa kijiji hicho wakiwa wanatizama kinachoendelea

Mlezi wa CCM mkoa wa kilimanjaro wakiwa pamoja na Katibu hamasa na chipukizi wilaya ya Moshi vijijini Ndg. Hassan Husein na LWAIGONANI


Picha ya pamoja ya viongozi mbali mbali 



Katibu wa UVCCM Mkoa wa kilimanjaro Ndg. Yassin Lema wa kati akiwa na
Katibu wa jumuiya ya wazazi wa mkoa wa kilimanjaro kushoto kwake na
Aliyewahi kuwa mbunge wa viti maalumu Mama Shally Raymond wakifuatilia mkutano


 

Jumatano, 12 Novemba 2014

Kumbukumbu la Blogu

Inaendeshwa na Blogger.

Machapisho Maarufu

Machapisho ya Karibuni

Recent Posts Widget