Mjumbe wa mkutano mkuu ccm taifa na mwenyekiti wa kamati ya uchumi uvccm mkoa wa kilimanjaro Ndg. Jerome Komu akikagua timu za mpira uwanjani
Mgeni rasmi akifatilia mpambano kwa ukaribu sana
Mgeni rasmi akikabidhi zawadi kwa washindi wa mechi ya fainali
Picha ya kwa pamoja na washindi
Baadhi ya wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara
Mgeni rasmi akihutubia mkutano wahadhara wa kijiji cha MtakujaVijana wakifurahia zawadi zao za ushindi
Mwenyekiti wa kijiji cha chekereni akihutubia wananchi
Katibu hamasa uvccm moshi vijijini Ndg. Hassan husein akihutubia mkutano wahadhara
Katibu wa uvccm moshi vijijini akijiandaa kuhutubia mkutano wa hadhara
Mko vizur , ccm oyee
JibuFuta