Hivi karibuni mbunge mtarajiwa wa jimbo la vunjo Ndg. Innocent Melleck Shirima ameweza kutimiza ahadi kwa kutoa zawadi ya mipira kwa mshindi wa mechi ya kirafiki kati ya timu ya marangu ttc na wageni wao iliyofanyika tarehe 08.03.2015 katika viwanja vya marangu ttc.
Mechi hiyo iliisha kwa timu ya Marangu ttc kuibuka na ushindi wa magoli matano kwa matatu dhidi ya wageni wao.
|
Mh. Innocent Melleck akikabidhi ahadi yake ya mipira kwa mshindi wa kwanza |
|
Mh. Innocent Melleck akikabidhi zawadi kwa mshindi wa pili |
|
Mh. Innocent Melleck akiongea jambo na vijana |
|
Mh. Innocent Melleck akipiga picha ya pamoja |
|
Mh. Innocent Melleck akifurahia jambo na vijana |
0 maoni:
Chapisha Maoni