Jumamosi, 8 Novemba 2014







Ancelotti:
Kroos was man of the match



Nov 8, 2014 23:07:57
The Italian lauded the performance of the Germany midfielder after he
starred in Saturday' evening's demolition of Rayo Vallecano
Carlo Ancelotti said Toni Kroos was his man of the match as Real Madrid maintained their impressive run
of form with a 5-1 win over Rayo Vallecano.
The midfielder scored to make it 3-1 on 55 minutes in an all-action showing,
with Gareth Bale, Sergio Ramos, Karim Benzema and Cristiano Ronaldo the other
goalscorers on Saturday evening.
Kroos was a €25 million summer signing from Bayern Munich and has
quickly settled into life at the Santiago Bernabeu, forming a partnership with
Luka Modric that Ancelotti was quick to praise after overseeing his side's
latest victory.
He said: "Kroos was the best player of the game and he even
scored his first goal. I'm surprised because he's been playing at a
huge level. He is free to attack. When he goes up, Modric stays. They are great
together and are playing fantastic."
Madrid's forward line has been the subject of much debate with Isco
impressing in the absence of Gareth Bale. The Welshman returned from a hip
injury on Saturday, with his team-mate dropping to the bench, though
Ancelotti feels his selection choice was justified.
"Bale gives us more pace and ability in the attack," he added.
"You can't always control the game. Bale & Isco are players with
different quality. In the next game Isco might play instead of James."
Ronaldo failed to fire against Liverpool in the Champions League on Tuesday
but was once again on the scoresheet against Rayo, but his coach says it is not
important if he doesn't score every week - despite his incredible haul of 23
goals in all competitions this season.
"I have not seen an anxious Ronaldo. He has played with his team-mates
and he's always done well. He enjoyed the game today and it's not a problem if
he doesn't score in a certain game."

Ijumaa, 7 Novemba 2014

Katibu wa CCM(W) Moshi vijijini Miriam Sangit Kaaya wa kati akisalimiana na Makamu Mwenykiti wa CCM bara Ndg. Philip Mangula alipotembelea mkoani Kilimanjaro hivi karibuni.




Misimamo ya Katibu wa CCM(W) Moshi vijijini ya kusimamia Katiba na kanuni za Chama cha Mapinduzi, kimepelekea kuwatesa baadhi ya wanachama wanaotaka nafasi ya ubunge kupitia CCM hasa waliofikiria kutaka kubebwa na Katibu huyo kabla ya kura za maoni hasa kwa upande wa Jimbo la VUNJO.

Katibu huyo wa CCM wa wilaya tangu apewe wilaya hiyo kiutendaji, amekuwa akisimamia kanuni za chama kwa kuhakikisha anafanya kazi zake kwa uwazi na ushirikiano mkubwa na viongozi wenzake ili kuhakikisha haki inapatikana kwa wanachama wote wa CCM bila ya kubagua.

Kutokana na misimamo yake ya kusimamia ukweli siku zote, baadhi ya wasaka nafasi hiyo ya ubunge 2015 kwa upande wa vunjo waliotegemea kupendelewa na katibu huyo wameanza mikakati ya kutaka kumchafua mbele ya jamii il aonekane hafai na hatimaye watimize malengo yao ya kisiasa.



Miriam Kaaya(Katibu wa ccm wilaya moshi vijijini) akiwa na timu yake katika harakati za kujenga ma kustawisha chama cha Mapinduzi moja ya ziara zake anazoendelea nazo.


Hivi karibuni zimjitokeza baadhi ya habari toka katika magazeti kadhaa yakiripoti tuhuma mbali mbali zilizotolewa na wanaojiita makatibu kata wa CCm dhidi ya Katibu wa CCM wilaya bila kujitambulisha kwa majina yao kamili kwa vyanzo hivyo vya habari. Imebainika ni uzushi na chuki za kisiasa dhidi ya Katibu huyo wa wilaya kutokana na kusimamia ukweli juu ya utendaji wake ndani ya chama cha Mapinduzi.

Baadhi ya makatibu kata wa ccm toka jimbo la vunjo wakizungumzia habari hizo, wanasema wamesikitishwa sana na hizo habari za uongo na za uzushi dhidi ya Katibu wao wa wilaya. Wanaenda mbali wakimzungumzia katibu huyo wa wilaya kuwa ni katibu wa kipekee kumpata. Ni mwanamke lakini ni mchapakazi hodari kupata kuonekana, amekua karibu na watu siku zote. Ameweza kusimamia ilani ya CCM ipasavyo na amekuwa mkali kwa watendaji wa serikali wanaokwamisha ilani ya CCM.

Pia, makatibu hao wa kata wanasema ni katibu pekee aliyeweza kufanya kazi mpaka ngazi ya matawi kwa kufika huko na kuongea na mabalozi hao.

 Katibu wa ccm wilaya akiwa na katibu wa ccm mkoa Ndg. Deo Rutha, Mwenyekit wa ccm wilaya moshi vijijin Ndg. Masenga na Mbunge wa jimbo la moshi vjijini Ndg. Dkt. Cyrill Chami na baadhi ya wanachama wa CCM katika tukio la kuwapokea wanachama wapya tokea Chadema.


Katibu huyo wa CCM(w) Miriam Kaaya anawakumbusha wanachama wote wa CCM na wanaokipenda kushikamana kipindi hiki cha uchaguzi wa serikali za mitaa. Umoja wetu ndio utakuwa ushindi wa chama cha mapinduzi.





Juma Raibu (Kamanda wa UVCCM- Kata ya Pasua) kwa jina maarufu Tajiri mtoto akikabidhi Dish la DSTV kwa vijana wa kata ya Pasua.
Kasi ya kupendwa na kukubalika mbela ya wananchi wa kata ya Pasua imezidi kumtesa Meya wa Moshi Mjini Ndg. Jaffary, ambaye pia ni Diwani wa kata hiyo.

Kijana huyo amekuwa kivutio kwa wananchi wa rika zote kuanzia watoto, vijana na wazee. Wakiulizwa wananchi wa kata ya Pasua juu ya kasi ya kijana huyo ambaye pia ni Kamanda wa UVCCM kata ya pasua wanamuelezea kuwa kijana anapendwa na wanapasua kutokana na ukaribu wake bila ya kubagua rika. Wengi wao wanamuona kama mkombozi wao huku wakimfananisha na Rais Barrack OBAMA kwa mvuto wake.

 
 Juma Raibu akihutubia mkutano wa hadhara katika kata ya Pasua

Wananchi wa KATA ya PASUA wakimsikiliza kwa umakini JUMA RAIBU



Umoja wa wanafunzi wa shule ya msingi ya Hananasif walioanza 1994-2001, hivi karibuni wanatarajia kuzindua umoja wao. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa umoja huo Ndg. Florence Vicent akithibitisha hilo '' Kilichokuwa kikisubiriwa ni kukamilika kwa Katiba na Kanuni za umoja wetu, hatua za awali zimekamilika na tayar kikao kimoja kimefanyika''..

Umoja huo wenye malengo ya kufahamiana na na pia kujijenga kiuchumu zaidi akiendelea kutolea ufafanuzi Mwenyekiti huyo.

Wajumbe wengi waliopo ndani ya Umoja huo wameonesha kufarahishwa na umoja huu na wana mategemeo makubwa sana ya kufika mbali.

Mwenyekiti huyo ametoa wito kwa wanafunzi wote waliomaliza miaka hiyo wafanye mawasiliano na yeye au Katibu ndg. Said Kipaso au Mweka hazina wa umoja huo Ndg. Moses Kihengu.
Mtanzania Jitambue: mtanzania-jitambue.blogspot.com: MAZISHI YA ALIYEKUWA KATIBU WA UVCCM(W) YA ARUMERU 05/11/2014.

Katibu wa UVCCM(W) MOSHI MANISPAA ndg. Joel Makwaiya akitoa neno la shukrani kwa niaba ya UVCCM(M) KILIMANJARO.

Inaendeshwa na Blogger.

Machapisho Maarufu

Machapisho ya Karibuni

Recent Posts Widget