Makamu Mwenyekiti wa UVCCM TAIFA-Mhe.Mboni Mhita ameshiriki Kwenye Semina ya Ujasiriamali na jinsi ya kufanya biashara na Marekani, Huku akiwa ameongozana na Vijana 5 ambao walishiriki kuweza kupata elimu ya Ujasiriamali kutoka kwa Wamarekani kwa kweli Mhe.Mboni Mhita anapaswa kupongezwa sana kwani anajituma sana katika kuwatafutia vijana Fursa na kuweza kujitambua ambapo hatukuwa na Utaratibu huu ambao tunauona kwa Mhe.Mboni Mhita...
Na kupambana kwake ameweza na amehakikisha kuwaombea fursa,
Pia alisema kuna safari ya marekani ambayo nitaongozana nao hao Vijana 5 au Zaidi kwani anaongea na Wamarekani wampe hizo nafasi za vijana wake!
Pia alisema kuna safari ya marekani ambayo nitaongozana nao hao Vijana 5 au Zaidi kwani anaongea na Wamarekani wampe hizo nafasi za vijana wake!
Kutoka na uhodari wake wa kutoa Semina kwa vijana hapo kwenye Semina hakika Wamarikani walimpongeza na kusema wanahitaji kiongozi wa aina yake na wamesema kwa hatua hii hakika Tanzania imepata kijana anayependa Taifa lake na watu wake mpaka wameweza kumualika aende Marekani akatoe Somo kwa gharama zao Marekani...
Mahojiano hayo yalifanywa na MTANZANIA JITAMBUE na kumpongeza sana kwani ni viongozi wachache huweza kujitolea hivi kwa vijana wa kitanzania...!!!
Wenu
Mtanzania Jitambue-Dar es Salaam
Mtanzania Jitambue-Dar es Salaam
0 maoni:
Chapisha Maoni