Ijumaa, 3 Oktoba 2014

Aliyekuwa IGP SAIDI MWEMA-MSTAAFU afiwa na mama yake leo ktk hospital ya KCMC Mjini Moshi Leo...

Taarifa hizi zimefika katika Office ya MTANZANIA JITAMBUE usiku huu kwa njia ya simu na kuweza kwenye kutoa pole nyumbani kwa Kina IGP SAID MWEMA maeneo ya Kiusa barabara ya Line Police....Chanzo cha ugonjwa bado hakijajulikana ila Mama Mwema alilazwa Hospital ya KCMC  na mauti kumkuta hapo...MTANZANIA JITAMBUE INAWAPA POLE SANA TENA NA WANAUNGANA NA FAMILIA YA MWEMA KATIKA MAJONZI HAYA....

KESHO TUTAWALETEA MATUKIO YOTE KUPITIA MTANZANIA JITAMBUE...

INNAILLAH WAINNA RAJUHUUNA!!!

0 maoni:

Chapisha Maoni

Inaendeshwa na Blogger.

Machapisho Maarufu

Machapisho ya Karibuni

Recent Posts Widget